Affet
JF-Expert Member
- Jul 8, 2018
- 1,189
- 1,672
Mshindi uso kwa uso na wananchi kazi wanayo barakoa fc ole wao washinde!Naiona njia nyeupe kwa Yanga. Ila sijajua Mshindi kati ya Simba na Azam atakutana na nani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mshindi uso kwa uso na wananchi kazi wanayo barakoa fc ole wao washinde!Naiona njia nyeupe kwa Yanga. Ila sijajua Mshindi kati ya Simba na Azam atakutana na nani.
Haaaaaahaaaaa ila mnatujua vzr tu sijamuona wa kuwastopisha wananchi hpo!Duh. Nimeona Mshindi kati ya Yanga vs Kagera atacheza na Mshindi kati ya Simba vs Azam. Hii ni wazi kuwa Simba itaharibu safari ya Azam na Yanga na kuirahishishia kazi NAMUNGO
Haaaaaahaaaaa tatzo lenu mdomo Morisoooon!Duh. Nimeona Mshindi kati ya Yanga vs Kagera atacheza na Mshindi kati ya Simba vs Azam. Hii ni wazi kuwa Simba itaharibu safari ya Azam na Yanga na kuirahishishia kazi NAMUNGO
Tushawazoea ile sare mliuliza vivyo hivyo twendeni tu!nawatamani vyura nusu fainali, watatueleza lile goli la morrison walilipataje ?
Buda am a menBidada naona upo vizuri pia kwenye uchambuzi wa soka
Vyura mfungeni kwanza Kagera ndio mtufikirie mabingwaHaaaaaahaaaaa tatzo lenu mdomo Morisoooon!
Sawa Tako fc aka BombaVyura mfungeni kwanza Kagera ndio mtufikirie mabingwa
We got you SirSawa Tako fc aka Bomba
Sina hakika kama unafatilia mpira wa bongo vizuri, Azam huitesa sana Simba na kwa Yanga huwa yanapigwa kizembe.Hili kombe linatua msimbazi Azam ni kibonde, hata records zinaonyesha Azam kapigwa sana na Simba
Sasa kwanini unaweka avatar ya kike?Buda am a men
Sina hakika kama unafatilia mpira wa bongo vizuri, Azam huitesa sana Simba na kwa Yanga huwa yanapigwa kizembe.
Hadi nakuonea huruma.Sina hakika kama unafatilia mpira wa bongo vizuri, Azam huitesa sana Simba na kwa Yanga huwa yanapigwa kizembe.
Katuni wakiume huyo ni Mkorea.Sasa kwanini unaweka avatar ya kike?
Men=Man
Duh! Isije kuwa unanilisha matangoporiKatuni wakiume huyo ni Mkorea.
Binafsi nilishasema humu.kabla ligi kuu haijasimama kwa Corona kuwa Simba hataweza kumfunga Yanga labda baada ya miaka mitano ijayo kuanzia Sasa...mark my words.Shadeeya mjiandae kisaikolojia mkibahatisha kuwatoa Kagera mnakutana na Mfalme wa nyika Mnyama mkali Simba sc.
Kumbe unataka matango ya kizungu yanayolimwa kwa viatirifu?Duh! Isije kuwa unanilisha matangopori
Kumbe unataka matango ya kizungu yanayolimwa kwa viatirifu?
Yaani yanga akipita kwa kagera atakuwa amerahisisha kazi ya NamungoHiyo Namungo mbona mnaipa kipaombele hivo
Achukue takwimu za msimu huu simba kamfunga azam wakati yanga kapoteza kwa AzamMkuu wewe ndo hufuatilii mpira halafu unamwambia mwenzako hafuatilii mpira ,tangu 2010 simba imemfunga azam mara 9 na azam wameifunga mara 7.
Yanga iimemfunga azam mara 7 na azam ameifunga Yanga mara 8 .
Haya leta takwimu usibishe wakati hujui kitu