rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
Azam ni jamaa zetu ila kuna mtu hatutaki apande ndega mwaka huu labda mechi yake na kagera ianze akitolewa tutajua namna ya kuwasaidia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamna kubahatisha hapo Mtani.Shadeeya mjiandae kisaikolojia mkibahatisha kuwatoa Kagera mnakutana na Mfalme wa nyika Mnyama mkali Simba sc.
Naona ushabiki unakusumbua Mkuu, Simba ipi ya kumharibia Yanga? Labda Azam FC ambalo ni branch yao.Duh. Nimeona Mshindi kati ya Yanga vs Kagera atacheza na Mshindi kati ya Simba vs Azam. Hii ni wazi kuwa Simba itaharibu safari ya Azam na Yanga na kuirahishishia kazi NAMUNGO
Kama walivyowaeleza tarehe 8 Machi, 2020 namna walivyopata sare tarehe 4 January, 2020.nawatamani vyura nusu fainali, watatueleza lile goli la morrison walilipataje ?