Droo ya robo fainali kombe la shirikisho la Azam Sport

Naiona njia nyeupe kwa Yanga. Ila sijajua Mshindi kati ya Simba na Azam atakutana na nani.
Mshindi uso kwa uso na wananchi kazi wanayo barakoa fc ole wao washinde!
 
Duh. Nimeona Mshindi kati ya Yanga vs Kagera atacheza na Mshindi kati ya Simba vs Azam. Hii ni wazi kuwa Simba itaharibu safari ya Azam na Yanga na kuirahishishia kazi NAMUNGO
Haaaaaahaaaaa ila mnatujua vzr tu sijamuona wa kuwastopisha wananchi hpo!
 
Mkuu wewe ndo hufuatilii mpira halafu unamwambia mwenzako hafuatilii mpira ,tangu 2010 simba imemfunga azam mara 9 na azam wameifunga mara 7.
Yanga iimemfunga azam mara 7 na azam ameifunga Yanga mara 8 .

Haya leta takwimu usibishe wakati hujui kitu
Sina hakika kama unafatilia mpira wa bongo vizuri, Azam huitesa sana Simba na kwa Yanga huwa yanapigwa kizembe.
 
Sina hakika kama unafatilia mpira wa bongo vizuri, Azam huitesa sana Simba na kwa Yanga huwa yanapigwa kizembe.
Hadi nakuonea huruma.
Toka 2015 Azam kwenye ligi kamfunga Simba mara mbili tu! Na mara ya mwisho kumfunga mnyama ni 2018!
.
Vyura mara ya mwisho kumfunga Azam ni 2019 cha jogoo na kabla ya hapo alimfunga 2017, Azam anamtandika kila mwaka Yanga.
 
Mkuu wewe ndo hufuatilii mpira halafu unamwambia mwenzako hafuatilii mpira ,tangu 2010 simba imemfunga azam mara 9 na azam wameifunga mara 7.
Yanga iimemfunga azam mara 7 na azam ameifunga Yanga mara 8 .

Haya leta takwimu usibishe wakati hujui kitu
Achukue takwimu za msimu huu simba kamfunga azam wakati yanga kapoteza kwa Azam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…