R rodrick alexander JF-Expert Member Joined Feb 12, 2012 Posts 16,784 Reaction score 23,312 May 31, 2020 #41 Azam ni jamaa zetu ila kuna mtu hatutaki apande ndega mwaka huu labda mechi yake na kagera ianze akitolewa tutajua namna ya kuwasaidia
Azam ni jamaa zetu ila kuna mtu hatutaki apande ndega mwaka huu labda mechi yake na kagera ianze akitolewa tutajua namna ya kuwasaidia
Shadeeya JF-Expert Member Joined Mar 12, 2014 Posts 49,759 Reaction score 118,798 May 31, 2020 #42 Troisième Ceil said: Shadeeya mjiandae kisaikolojia mkibahatisha kuwatoa Kagera mnakutana na Mfalme wa nyika Mnyama mkali Simba sc. Click to expand... Hamna kubahatisha hapo Mtani. Tunalipa kisasi kwa Kagera kisha kukusubiria wewe tena na sasa hivi hakutakuwa na kutusahaulisha tutakachowafanyia saa hiyo.
Troisième Ceil said: Shadeeya mjiandae kisaikolojia mkibahatisha kuwatoa Kagera mnakutana na Mfalme wa nyika Mnyama mkali Simba sc. Click to expand... Hamna kubahatisha hapo Mtani. Tunalipa kisasi kwa Kagera kisha kukusubiria wewe tena na sasa hivi hakutakuwa na kutusahaulisha tutakachowafanyia saa hiyo.
Mawembasa1979 JF-Expert Member Joined Feb 26, 2015 Posts 2,540 Reaction score 3,333 May 31, 2020 #43 KANYIMBI said: Duh. Nimeona Mshindi kati ya Yanga vs Kagera atacheza na Mshindi kati ya Simba vs Azam. Hii ni wazi kuwa Simba itaharibu safari ya Azam na Yanga na kuirahishishia kazi NAMUNGO Click to expand... Naona ushabiki unakusumbua Mkuu, Simba ipi ya kumharibia Yanga? Labda Azam FC ambalo ni branch yao.
KANYIMBI said: Duh. Nimeona Mshindi kati ya Yanga vs Kagera atacheza na Mshindi kati ya Simba vs Azam. Hii ni wazi kuwa Simba itaharibu safari ya Azam na Yanga na kuirahishishia kazi NAMUNGO Click to expand... Naona ushabiki unakusumbua Mkuu, Simba ipi ya kumharibia Yanga? Labda Azam FC ambalo ni branch yao.
Mawembasa1979 JF-Expert Member Joined Feb 26, 2015 Posts 2,540 Reaction score 3,333 May 31, 2020 #44 Obama wa Bongo said: nawatamani vyura nusu fainali, watatueleza lile goli la morrison walilipataje ? Click to expand... Kama walivyowaeleza tarehe 8 Machi, 2020 namna walivyopata sare tarehe 4 January, 2020.
Obama wa Bongo said: nawatamani vyura nusu fainali, watatueleza lile goli la morrison walilipataje ? Click to expand... Kama walivyowaeleza tarehe 8 Machi, 2020 namna walivyopata sare tarehe 4 January, 2020.