Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Jioni ya leo pale Mjini Doha nchini Qatar kutafanyika droo ya robo fainali kwa mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika pamoja na Kombe la Shirikisho Afrika.
Kwa upande wa michuano ya Kombe la Shirikisho la CAF (CAF Confederation Cup) msimu wa 2024/2025 timu zilizofuzu kwa droo hii ni:
Wawakilishi pekee kwa Tanzania ni Simba waliopo katika michuano ya Kombe la Shirikisho, ambapo wanaweza kukutana aidha na Stellenbosch ya Afrika Kusini, Asec Mimosas ya Ivory Coast au Al Masry ya Misri.
Katika msimu wa 2024/2025 wa Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF Champions League), hatua ya makundi imekamilika, na timu nane zimefuzu kwa hatua ya robo fainali. Timu hizo ni:
Droo hiyo itaanza majira ya Saa 11:00 Jioni na kurushwa live kupitia Azam Sports 1HD, Supersport, Canal na bila kusahau Caf Tv kule Youtube.
Wana JF wote tutakutana kwenye uzi huu bila kujali timu yako ipo au ilitoka mapemaView attachment 3242267
========================
Ratiba ya Robo Fainal kwa Kombe la Shirikisho
Droo ya Ligi ya Mabingwa Afrika

- Simba SC kutoka Tanzania
- USM Alger kutoka Algeria
- Zamalek SC kutoka Misri
- RS Berkane kutoka Morocco
- Asec Mimosas kutoka CIV
- Stellenbosch FC kutoka Afrika Kusini
- CS Constantine kutoka Algeria
- Al Masry SC kutoka Misri
Wawakilishi pekee kwa Tanzania ni Simba waliopo katika michuano ya Kombe la Shirikisho, ambapo wanaweza kukutana aidha na Stellenbosch ya Afrika Kusini, Asec Mimosas ya Ivory Coast au Al Masry ya Misri.
Katika msimu wa 2024/2025 wa Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF Champions League), hatua ya makundi imekamilika, na timu nane zimefuzu kwa hatua ya robo fainali. Timu hizo ni:
- Al Hilal Omdurman (Sudan) – Kwanza Kundi A
- MC Alger (Algeria) – Pili Kundi A
- ASFAR (Morocco) – Kwanza Kundi B
- Mamelodi Sundowns (SA) – Pili Kundi B
- Orlando Pirates (Afrika Kusini) – Kwanza Kundi C
- Al Ahly (Misri) – Pili Kundi C
- Pyramids FC (Misri) – Kwanza Kundi D
- Espérance de Tunis (Tunisia) – Pili Kundi D