Droo ya Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho Afrika 2024/2025 | Doha, Qatar | 20.02.2025

Kwa vile imefanyik kwa warabu nongwa hv nyie kuna siku mtawacha vitu vipite kama vilivopangwa kwa nn hukuomba ije kwenu mpanda
Ushaona Uefa wamefanya Droo yao huko marekani au huko arabuni?!
 
Waafrica nao wapuuzi sana; sasa CAF mashindano ya Afrika kwa nini wakafanyie droo Doha, Qatar? Hawana imani na Afrika?
Ni suala la fedha hapo, wala sio kitu kigeni. Mfano Real Madrid Vs Barcelona kwenye kombe lao la Super Cup au Fainali ya juzi ya Inter Milan Vs Ac Milan mechi zote zilipigwa uarabuni

Dunia ya sasa pesa inaamua mambo mengi, ndio tafsiri sahihi ya mpira pesa
 
Mifano yako ni dhaifu kabisa. Uarabuni ikitaka kudhamini mashindano yafanyike nchi kwake na kuyalipia, ni tofauti na kwenda kwenye hoteli moja ya uarabuni kufanya droo bila kulipwa. Hakuna maelezo kuwa CAF wamelipwa ili droo hiyo ikafanyikie Doha. Kwanza droo haiingizi pesa na wala haitoi promoshone yoyote kwenye utalii wa Doha, kama mashindano yanavyiongiza pesa na kutoa promosheni ya venue.
 
U know nothing about football
 
Mambo yameanza kuiva
IMG_5363.jpeg
 
Back
Top Bottom