Droo ya Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho Afrika 2024/2025 | Doha, Qatar | 20.02.2025

Wamekosa mji wa kufanyia hyo Droo hadi waende huko arabuni?! Si wangeenda hakwa mama kizmkazi
Kwa vile imefanyik kwa warabu nongwa hv nyie kuna siku mtawacha vitu vipite kama vilivopangwa kwa nn hukuomba ije kwenu mpanda
 
Mkuu VAR yetu Uto FC tutaenda nayo?
 
Waafrica nao wapuuzi sana; sasa CAF mashindano ya Afrika kwa nini wakafanyie droo Doha, Qatar? Hawana imani na Afrika?
nilitaka niandike hili wazo, nimeona coment yako nimefurahi sana mkuu! Ngoja niendelee kushindilia msumali hapahapa.
 
Kila la kheri wawakilishi wa Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla Simba.
Mleteni yeyote achenyetwe
 
Mechi zinazohusu bara la Africa zinaenda kupangiwa kwenye bara la Asia!!!

Kuna tatizo kubwa sana Afrika.
Ubaya ni nini hapo boss? Si marketing ya soka la Africa kwenye bara la Asia?
 
nilitaka niandike hili wazo, nimeona coment yako nimefurahi sana mkuu! Ngoja niendelee kushindilia msumali hapahapa.
Embu tuambie mkuu tatizo kubwa ni nini hapa? Soka la Africa linahitaji platform ya nje, watu wa mabara mengine walifuatilie, wachezaji waonekane.

Unajua Africa tuna ubaguzi mno, ni vile tu sisi ni masikini, tungekuwa matajiri haki ngozi nyeupe wangeipata.
 
Ubaya ni nini hapo boss? Si marketing ya soka la Africa kwenye bara la Asia?
Akili yako ina akili kweli?

Unajua ulichoandika???

Marketing ya soka la Afrika kwenye bara la Asia?

Au sikukusikia vema?



Be realistic 🥺
 
wakuu,
Hii iko sawa na uozo wa hapa bongo,mechi za "NBC Tanzania bara" elewa neno Tanzania Bara inapangiwa kuchezwa Tanzania Visiwani Zanzibar, hii ni mihemko ya kisiasa ya kutafuta attention na matumizi mabaya ya madaraka.
 
Reactions: Tsh
Akili yako ina akili kweli?

Unajua ulichoandika???

Marketing ya soka la Afrika kwenye bara la Asia?

Au sikukusikia vema?



Be realistic 🥺
Twende taratibu. Mihemko ya nini, hahaha. Embu sema boss, tatizo lipo wapi kufanyia matangazo Asia?
 
Afrika imejaa?
Tuambie tatizo la kufanyia matangazo ya mashindano ya soka la Africa, yanayohusu vilabu vinavyouza na kununua wachezaji kutoka mabara yote kwenye bara la Asia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…