Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
- #161
Ni muda sasa wa Droo ya Ligi ya Mabingwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nasikia wanacheza na Singida Big Star ⭐ 🙄🙄🙄Tusubiri draw ya CAFCL tuone mabingwa wa kihistoria Yanga Afrika itapangwa na nani
Na vurugu wanaafanyaKuna lijitu timu yake haipo lakini comfortably linaendelea kupumua
Hamna kitu ka iko. Unajifariji tu hapa Mtani. 🤣🤣🤣Mtaniiii! Kuwa mpoleee mbna mambo mazuri yaja na utafurahi.
Haipo hivyoAl Ahly atapewa kibonde kama kawaida yake
Uwekezaji wa uhakika kwenye mchezo wa soka barani Afrika uko huko.Katika timu 16,timu 11 zinatoka Kaskazini. Jamaa wanabalaa sana.
Ipoje sasaHaipo hivyo
Anapewa aliyemaliza wa kwanza kwenye group, afu Ahly ni timu bora sana hapa AfrikaIpoje sasa
Kumaliza wa kwanza sio sababu, unaweza ukamaliza wa kwanza na ukawa underdogAnapewa aliyemaliza wa kwanza kwenye group, afu Ahly ni timu bora sana hapa Afrika
😃Ibenge anajuta sana kuongoza kundi😁
Uko hatua gani mtani?Tulikuwa tunamlilia Asec. Lol.
Hapa viroho vinatudunda hatari.