Droo ya Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho Afrika 2024/2025 | Doha, Qatar | 20.02.2025

Hii draw inamaanisha Simba ina uwezo wa kuwa top 3 katika ranking za CAF maana ina uwezo wa kumzuia Zamalek asifike fainali.

Fainali ya Simba vs Zamalek ingenoga zaidi ila tukiwalipizia kisasi vyura dhidi ya USMA itapendeza pia.
 
IMG_5371.jpeg
 
Simba zmaleck ndio itakuwa fainali tayari hiyooo.
Bonge moja ya game itakuwa
 
Mwaka huu tuna bahati na Waarabu. Tutawatoa wote ... robo & nusu. Nadhani hata wao watakuwa wamepanic.
 
Back
Top Bottom