kila wakipangiwa wahispania wanakula vipgo,leo wamewapanga waingereza kwa waingereza tena malalamikodah, uingereza wanaonewa sana! hapo hawajachezesha draw wala nn, ni changa la macho hilo
Mkuu mimi Liver na sio kama naogopa kitu ningependa yoyote sawa tu lakini City si kama ndugu namuonea huruma kumpiga mdogo wangu lakini sina la kufanya inabidi nifundishe dogo heshima kidogo. TuheshimianeMtetemko vp mkuu kwani nani kaonewa?
Ulitaka team yako ipewe team gani?
Iache ipambane tu kiume
Mimi arsenal pia, sina hamu na hizi draw! Ndio timu wanatupaga.hahah hebu mtuache aiseee
Historia ipo ili ivunjwe,hatuishi kwa wakati uliopita tunaishi katika wakati uliopo.Liverpool tutawashangaza sana watu. City kama ni ngumi tutaenda mpaka round ya 12 mimi naamini kabisa. History iko upande wetu hata katika league. Hakuna kuogopa mtu atakayekuja tunaenda naye tu hakuna kuogopa kitu.
Hapana Real na Sevilla wa kawaida sana, Huyo Real si alipigwa 3 na Spurs au sio wao.kila wakipangiwa wahispania wanakula vipgo,leo wamewapanga waingereza kwa waingereza tena malalamiko
Tuache history mechi ya mwisho si tuliwapiga 4 hawa au sio waoHistoria ipo ili ivunjwe,hatuishi kwa wakati uliopita tunaishi katika wakati uliopo.
Liverpool naapa hawezi mtoa man city.
Ila ndio watoboaji.madrid hawapendwi
kwanini usiseme juve?madrid hawapendwi
yeah ndo hvyo mkuu la msingi kupambana tu hamna namnaHapana Real na Sevilla wa kawaida sana, Huyo Real si alipigwa 3 na Spurs au sio wao.
Kwao waliwapiga ngapi?Tuache history mechi ya mwisho si tuliwapiga 4 hawa au sio wao
Man City na Liver si wanatoka ligi moja kuna uwezekano wa kukutana kweli?? Au ile sheria inafanya kazi kwenye hatua ya makundi tu??
Hata mimi sijaipenda hiii... Ila ishara nzuri kwa waingereza nahakika timu itakayo pita ndio atakuwa championTimu za england zimepangwa zitoane zenyewe, hapo ingependeza madrid apangwe na man city alafu liverpool na juventus au vise versa.
Lol!!!Arsenal ingekiwepo, ungesikia imepewa Barcelona au Bayern!
Hapa uingereza wamewasaidia lasivyo mwaka huu wasingeingiza timu nusu fainalidah, uingereza wanaonewa sana! hapo hawajachezesha draw wala nn, ni changa la macho hilo
Hawapendwi na nani wapambane na hali yao naona mlikuwa mnamtamani sana romamadrid hawapendwi
umeniwahi mkuuSio mbaya Madrid,barca,man city na bayen