barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Tuna rekodi mbaya nao, wanatupigaga za basketball.Lol!!!
Kwani bayern au Barcelona,Arsenal Fc inawaogopa sana...?
Well saidHapa uingereza wamewasaidia lasivyo mwaka huu wasingeingiza timu nusu fainali
Kwa Juve?? PSG is better than Juve. Hapa kwa mimi naona Real kapata mteremko.madrid akichomoa hapa kwangu atakuwa bingwa hata asiponyanyua ndoo
Malizia basi mliwapiga 4-3.Tuache history mechi ya mwisho si tuliwapiga 4 hawa au sio wao
Akichomoa wapi kwa Juventus...?madrid akichomoa hapa kwangu atakuwa bingwa hata asiponyanyua ndoo
Mimi nimesikitika sana Juventus kupangiwa Real Madrid.Kwa Juve?? PSG is better than Juve. Hapa kwa mimi naona Real kapata mteremko.
Mechi ngumu ni 'EPL'.
unajua kisasi kwenye mpira kinazingatiwa sana, na fainali ni mech moja tena ugeninKwa Juve?? PSG is better than Juve. Hapa kwa mimi naona Real kapata mteremko.
Mechi ngumu ni 'EPL'.
Haha!! Nakwambia ngoma imekuwa vice-versaDuh, mngekuwa mmebeti wore mikeka chaliiiiii
kila wakipangiwa wahispania wanakula vipgo,leo wamewapanga waingereza kwa waingereza tena malalamiko
Katika mechi zote mbili tulizokutana nao, kulijitokeza makosa mengi tu.Makosa hayajirudii kivipi mkuu..?
Historia ipo ili ivunjwe,hatuishi kwa wakati uliopita tunaishi katika wakati uliopo.
Liverpool naapa hawezi mtoa man city.