Droo ya UEFA Champions Ligi; R.Madrid Vs Juventus, Liverpool apewa Man. City! UEFA Europa Ligi; Arsenal Vs CSKA Moskva..

Hapana Real na Sevilla wa kawaida sana, Huyo Real si alipigwa 3 na Spurs au sio wao.
Una stress wewe, Madrid hii iliyomtoa PSG ndo unayoibeza? Wakat hao Tot walibahatisha tu ndo maana hawapo sasa hivi.
 
Malizia basi mliwapiga 4-3.

Nakuambia tena Liverpool hana ubavu wa kumtoa city robo fainal.

Kama ni Mtoto, Liverpool ya Sasa bado ni mtoto aliye na masalia ya maziwa-maziwa ya mama.
Alisina, unitafute baada ya tarehe 4 April maana knockout ni kujipanga tu na sisi kazi hiyo tuko vizuri. Mimi najiamini tu ile 5-4 sijui 3-2 muhimu tunapita.
 
Una stress wewe, Madrid hii iliyomtoa PSG ndo unayoibeza? Wakat hao Tot walibahatisha tu ndo maana hawapo sasa hivi.
Mkifungwa nyinyi ndio kubahatisha? si walicheza mechi 2 na nyinyi hiyo pia ni bahati. basi mkuu wengine bahati tu nyinyi hapana.
 
Alisina, unitafute baada ya tarehe 4 April maana knockout ni kujipanga tu na sisi kazi hiyo tuko vizuri. Mimi najiamini tu ile 5-4 sijui 3-2 muhimu tunapita.
Okay!!! Heijah.

Nitakutafuta baada ya 4 April.
 
Atletico de Madrid vs arsenal uefa europa league
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…