johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Zamani kabla ya Masaki kule Oysterbay kulikuwa Ndio Uzunguni na kulikuwa na Utulivu uliotukuka
Leo hii Dar es salaam yote inafanana na Sinza ile ya Shekilango road yaani kutoka Legho hadi Bamaga
Au Kigamboni kwa akina Mwijaku Ndio Uzunguni ya DAR? ๐๐๐
Washua siku hizi wanaishi Bandari ya Mbweni