Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Kipindi hicho unakatiza kutembelea mashamba boi wenzako mliotokea pamoja Wanging'ombe kwenda kulima na kufyeka bustani za madon wa Daslam.Nakumbuka pale Regent/ Ursino kwa Kikwete Zamani aliishi Mzee Msekwa na Mzee Mwanambilimbi kulikuwa hakunaga fensi yaani unakatisha tu hadi unaibukia kwa Mzee Kasesela 😀
Halafu unaonekana ulikuwa unajiibia sana kusikiliza mazungumzo ya maboss zako ndio maana umekariri majina ya wazee wa zamani.