DSM kwa sasa haina " Uzunguni" kule Oysterbay, Masaki, Regent, Mbezi beach na Bahari beach kumejaa Flemu za Biashara na Bar!

DSM kwa sasa haina " Uzunguni" kule Oysterbay, Masaki, Regent, Mbezi beach na Bahari beach kumejaa Flemu za Biashara na Bar!

mipango miji kwetu ni kipengele, hv hakuna sheria inayokataza hayo mambo? obey ya leo had mama ntilie wapo.
Mipango miji ndo wamapanua CBD mpaka maeneo ya masaki kwa Redevelopment plan ya sasa hupati kibali cha kujenga nyumba ya kawaida kwa maeneo mengi ya Masaki na Oysterbay.
 
😂😂😂

Freeman alikuwa anauchomekea mguu wa kuku

Full mbwembwe
Baba yake sasa,kuna uncle wangu alikuwa baharia miaka ya 70 mzee mbowe mwenyewe alikuwa anamjuwa sana si unajua zamani bahari meli ikishuka watu lazima waende kwa mbowe pale
Sasa kikinuka tu mzee mbowe lazima atoe mguu wa kuku kuwatawanisha watu
Alikuwa mtata sana nashangaa freeman mbowe mstarabuu

Ova
 
Dar Es Salaam eneo limezidi kuwa finyu afu watu ni wengi, wapanue Jiji hadi bagamoyo huko, Jiji lipumue
 
Lugalo jeshini kwenye wamezungusha maframeeee 😄

Ova
Wale ndio wamenimaliza nguvu. Wana very potential area halafu wanajenga frame kweli? Yaani jeshini wamekosa watu wazuri wa planning and investment? Aibu kubwa sana.

Acha lugalo, njoo Makuburi, kuna eneo zuri sana limejengwa bar za kitimoto kila kona, ni bar na parking za malori.

Hii nchi mipango miji tungewakabidhi tu wazungu.

Nchi nzima tunaishi kw auchumi wa frame, frame economics.
 
Uchumi wa fremu, tunaishi Ili tusurvive.
Frame economics. Mambo ya hovyo sana.

Mji mzima Dar hauna open spaces, hakuna public spaces, hauna public gardens na maeneo ya kupumzika ya umma.

Mji umejengwa kila kona.

Sijui ni umasikini wa akili ama wa fedha. Ni mambo ya hovyo sana.
 
Maeneo mengi ya wazi yamevamiwa..
Kuna siku nlipita biafra nikaona kuna upande umezungushiwa mabati...inasemekana kuna mtu anataka kuweka yard ya magari
Sasa najiuliza hawa viongozi wanataka watoto,watu wakapumzikie wapi/sehemu za kufanya michezo maana Maeneo yote wanayagawa ...mambo ya ajabu kabisa wanafanya

Ova
 
Mipango miji ndo wamapanua CBD mpaka maeneo ya masaki kwa Redevelopment plan ya sasa hupati kibali cha kujenga nyumba ya kawaida kwa maeneo mengi ya Masaki na Oysterbay.
ndo maana wenye nyumba wanaweka mama ntilie mbele ya nyumba ili wavunevune au siyo!
 
Maeneo ya kishua yalitakiwa kuwa na strict zoning law. Hakukutakiwa kuwepo ujenzi holela wa maghorofa marefu, mahoteli, ofisi na fremu za biashara.
 
Back
Top Bottom