DSM kwa sasa haina " Uzunguni" kule Oysterbay, Masaki, Regent, Mbezi beach na Bahari beach kumejaa Flemu za Biashara na Bar!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Zamani kabla ya Masaki kule Oysterbay kulikuwa Ndio Uzunguni na kulikuwa na Utulivu uliotukuka

Leo hii Dar es salaam yote inafanana na Sinza ile ya Shekilango road yaani kutoka Legho hadi Bamaga

Au Kigamboni kwa akina Mwijaku Ndio Uzunguni ya DAR? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Washua siku hizi wanaishi Bandari ya Mbweni
 
Hao walevi wa hayo mabaa wanatoka wapi?...zile ofisi za chadema zipo eneo gani vile...
 
Oyster Bay ya enzi zetu fence ni za michongoma tu hakuna mageti wala nini lakini utulivu na usalama wa kutosha.
Nakumbuka pale Regent/ Ursino kwa Kikwete Zamani aliishi Mzee Msekwa na Mzee Mwanambilimbi kulikuwa hakunaga fensi yaani unakatisha tu hadi unaibukia kwa Mzee Kasesela πŸ˜€
 
Wazee washua wamefariki na kuzeeka ila wamewaacha watoto walioaribiwa na urabu wa pombe na Madawa ya kulevya.
Succession Plan yao ilikuwa mbaya kama ya Mzee Mgabe na Nyerere.
 
Mambo yote ni Mbweni.
Ngoja kesho niende nimcheki jirani yangu Wassira.
 

Njoo Mbweni ujionee
 
Nakumbuka pale Regent/ Ursino kwa Kikwete Zamani aliishi Mzee Msekwa na Mzee Mwanambilimbi kulikuwa hakunaga fensi yaani unakatisha tu hadi unaibukia kwa Mzee Kasesela πŸ˜€
Ukipita chocho, unatokea Kontena kwa Ras.
Nimekula sana uchochoro wa kukatizia kwa akina Mwanambilimbi nikitokea huku Uporoto home.
Sahv kila sehemu ukuta
 
Na mbweni kuna Fundi Maiko bar na fremu kama zote πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…