DSM kwa sasa haina " Uzunguni" kule Oysterbay, Masaki, Regent, Mbezi beach na Bahari beach kumejaa Flemu za Biashara na Bar!

Nakumbuka pale Regent/ Ursino kwa Kikwete Zamani aliishi Mzee Msekwa na Mzee Mwanambilimbi kulikuwa hakunaga fensi yaani unakatisha tu hadi unaibukia kwa Mzee Kasesela πŸ˜€
Kipindi hicho unakatiza kutembelea mashamba boi wenzako mliotokea pamoja Wanging'ombe kwenda kulima na kufyeka bustani za madon wa Daslam.

Halafu unaonekana ulikuwa unajiibia sana kusikiliza mazungumzo ya maboss zako ndio maana umekariri majina ya wazee wa zamani.
 
Reactions: EEX
Hapo Chadema ni mrangi pekee anayeelewa maana alikuwa na Jiwe lake la kukalia pale Drive Inn

Nyie wengine mlioletwa na Mbowe kuja kuchoma Nyama Bills DAR ya Kale mtaijulia Wapi? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hapo Chadema ni mrangi pekee anayeelewa maana alikuwa na Jiwe lake la kukalia pale Drive Inn

Nyie wengine mlioletwa na Mbowe kuja kuchoma Nyama Bills DAR ya Kale mtaijulia Wapi? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Tulia bwashee endelea kupata kangara hapo mwambie mama muuza nakuja kulipia.
 
Nakumbuka pale Regent/ Ursino kwa Kikwete Zamani aliishi Mzee Msekwa na Mzee Mwanambilimbi kulikuwa hakunaga fensi yaani unakatisha tu hadi unaibukia kwa Mzee Kasesela πŸ˜€
Dah....! We wa kitambo, those were good old days.
 
Ni huzuni nchi imejaa wasomi uchwara ambao hata kujiorganize wanashindwa.

Mipango miji wapo ila hawafanyi kazi.Watu hata hawajui kutofautisha maeneo ya biashara,makazi viwanda.Hivi nyie MIJITU MYEUSI mnadhani waliotenganisha maeneo ya kufanya kila kitu kwenye jamii hawana akili??? nyie MASIKINI ndio wajanja sana.

Muzungu alifanya haraka kutupatia nchi!!!
 
Umesahahu, na vibanda vya mama lishe pia vipo. Niliwahi kula ugali makange ya kuku kule Masaki.
 
Hapo Chadema ni mrangi pekee anayeelewa maana alikuwa na Jiwe lake la kukalia pale Drive Inn

Nyie wengine mlioletwa na Mbowe kuja kuchoma Nyama Bills DAR ya Kale mtaijulia Wapi? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mzee mbowe tena alikuwa na visa sana naye ubabe
Kutoa bunduki kupiga juu jambo dogo

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…