Lugalo jeshini kwenye wamezungusha maframeeee πMafremu mengi yamekuwa kama magofu tu. Yaani wabongo sijui nani kawaloga. Mtu akishakuwa na nyumba yake inatazama barabara ya mtaa, basi anaweka mafremu mbele ya nyumba.
πππMzee mbowe tena alikuwa na visa sana naye ubabe
Kutoa bunduki kupiga juu jambo dogo
Ova
mbona nasikia huwa wanasafiri mara kwa mara nchi za watu kujifunza mkuu.Sasa mtu ametoka nyangulukulu unampa apange jiji.
UNategemea nni.
Mipango miji ndo wamapanua CBD mpaka maeneo ya masaki kwa Redevelopment plan ya sasa hupati kibali cha kujenga nyumba ya kawaida kwa maeneo mengi ya Masaki na Oysterbay.mipango miji kwetu ni kipengele, hv hakuna sheria inayokataza hayo mambo? obey ya leo had mama ntilie wapo.
Baba yake sasa,kuna uncle wangu alikuwa baharia miaka ya 70 mzee mbowe mwenyewe alikuwa anamjuwa sana si unajua zamani bahari meli ikishuka watu lazima waende kwa mbowe paleπππ
Freeman alikuwa anauchomekea mguu wa kuku
Full mbwembwe
Wale ndio wamenimaliza nguvu. Wana very potential area halafu wanajenga frame kweli? Yaani jeshini wamekosa watu wazuri wa planning and investment? Aibu kubwa sana.Lugalo jeshini kwenye wamezungusha maframeeee π
Ova
Frame economics. Mambo ya hovyo sana.Uchumi wa fremu, tunaishi Ili tusurvive.
Maeneo mengi ya wazi yamevamiwa..Frame economics. Mambo ya hovyo sana.
Mji mzima Dar hauna open spaces, hakuna public spaces, hauna public gardens na maeneo ya kupumzika ya umma.
Mji umejengwa kila kona.
Sijui ni umasikini wa akili ama wa fedha. Ni mambo ya hovyo sana.
Jirani yangu Mbweni.Mzee mnaishi naye vipi?
Hapo Namanga jirani yake palikuwa na Pub Kwa wale Mapacha wa Mzee Malecela tumegonga naye BIA kwa sana tu π
ndo maana wenye nyumba wanaweka mama ntilie mbele ya nyumba ili wavunevune au siyo!Mipango miji ndo wamapanua CBD mpaka maeneo ya masaki kwa Redevelopment plan ya sasa hupati kibali cha kujenga nyumba ya kawaida kwa maeneo mengi ya Masaki na Oysterbay.