DSM - Moshi = 547 km DSM - Kigoma= 1374 Km Nauli ni sawa 60 elfu

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
78,914
Reaction score
168,320
Hii imekaaje
DSM - Moshi = 547 km
DSM - Kigoma= 1374 Km
Nauli ni sawa 60 elfu

Umbali wa DSM - kigoma ni zaidi ya mara tatu ya umbali wa DSM - Moshi

Je kwanini nauli ziwe sawa?

DSM-Moshi: Kampuni za mabasi zinashindana kupata abiria kutokana na wingi wa kampuni za mabasi, ushindani huo unaweza kuzuia bei kupanda sana.
 
Labda Dar Kigoma ni abiria wachache wanaosafiri mwanzo mwisho, huenda panda shuka za humo njiani ni nyingi hivyo wana compensate. Ni kama room ya guest ya fasta fasta inaweza kuingiza pesa nyingi kuliko room ya bei kubwa inayotumika mara moja.
 
Hii imekaaje
DSM - Moshi = 547 km
DSM - Kigoma= 1374 Km
Nauli ni sawa 60 elfu

Umbali wa DSM - kigoma ni zaidi ya mara tatu ya umbali wa DSM - Moshi

Je kwanini nauli ziwe sawa?

DSM-Moshi: Kampuni za mabasi zinashindana kupata abiria kutokana na wingi wa kampuni za mabasi, ushindani huo unaweza kuzuia bei kupanda sana.
Mbona Dar Moshi nauli ni Tshs. 45,000/= tu kwa kampuni ya Esther Luxury Coach, na nauli ya Dar-Kigoma kwa kampuni ya Saratoga ni Tshs.70,000/=

Hizo nauli ulizotaja wewe ni za kampuni gani?
 
Ndo tumuulize mleta uzi anakulupuka bila kuwa na data kamili
 
Hajakurupuka,
Hiyo 45,000 ni kwa semi luxury, bus halina washroom, hakuna leg room wala treats za njiani

Kwa mabus luxury yote nauli Dar - Moshi ni 60k. Mfano BM Coach ana bus 17 zinazoenda kaskazini kila siku, kati ya hizo ni 4 tu ndo zina bei ya 47,000 ila zingine zote 13 bei ni 60,000

Screenshot_20260811_193007_Opera.jpg
 
Hajakurupuka,
Hiyo 45,000 ni kwa semi luxury, bus halina washroom, hakuna leg room wala treats za njiani

Kwa mabus luxury yote nauli Dar - Moshi ni 60k. Mfano BM Coach ana bus 17 zinazoenda kaskazini kila siku, kati ya hizo ni 4 tu ndo zina bei ya 47,000 ila zingine zote 13 bei ni 60,000

View attachment 3648552
Tutumie na luxury Dar-Kigoma. Maana hata Saratoga nilichukua Semi-luxury ambazo ndizo zinatumiwa na wengi kwa njia zote mbili
 
Hajakurupuka,
Hiyo 45,000 ni kwa semi luxury, bus halina washroom, hakuna leg room wala treats za njiani

Kwa mabus luxury yote nauli Dar - Moshi ni 60k. Mfano BM Coach ana bus 17 zinazoenda kaskazini kila siku, kati ya hizo ni 4 tu ndo zina bei ya 47,000 ila zingine zote 13 bei ni 60,000

View attachment 3648552
Bei ni elfu45 ila hiyo elfu15 ni gharama za hizo huduma za ziada.
 
Hii imekaaje
DSM - Moshi = 547 km
DSM - Kigoma= 1374 Km
Nauli ni sawa 60 elfu

Umbali wa DSM - kigoma ni zaidi ya mara tatu ya umbali wa DSM - Moshi

Je kwanini nauli ziwe sawa?

DSM-Moshi: Kampuni za mabasi zinashindana kupata abiria kutokana na wingi wa kampuni za mabasi, ushindani huo unaweza kuzuia bei kupanda sana.
Nauli za Latra au za vishoka?
 
Hajakurupuka,
Hiyo 45,000 ni kwa semi luxury, bus halina washroom, hakuna leg room wala treats za njiani

Kwa mabus luxury yote nauli Dar - Moshi ni 60k. Mfano BM Coach ana bus 17 zinazoenda kaskazini kila siku, kati ya hizo ni 4 tu ndo zina bei ya 47,000 ila zingine zote 13 bei ni 60,000

View attachment 3648552
Hili linahitaji maelezo ya Mamlaka za Serikali kama Latra ndiye mwenye majukumu ya kupanga Bei na huduma za Usafirishaji Nchini
 
Hii imekaaje
DSM - Moshi = 547 km
DSM - Kigoma= 1374 Km
Nauli ni sawa 60 elfu

Umbali wa DSM - kigoma ni zaidi ya mara tatu ya umbali wa DSM - Moshi

Je kwanini nauli ziwe sawa?

DSM-Moshi: Kampuni za mabasi zinashindana kupata abiria kutokana na wingi wa kampuni za mabasi, ushindani huo unaweza kuzuia bei kupanda sana.
ishu ni mtu unaenda kufanya nini kigoma?
ni wangapi wanaenda kigoma kila siku?
mwenye gari akipeleka gari yake huko atarudi na watu level seat?
gari ikiharibika mapori ya Igagala na uvinza huko anapata wapi spea? mafuta?
warundi wakiteka basi inakuaje?
kama muwekezaji gawanisha hizo hatari zote kwenye kipato halafa amua nauli iwe sh ngapi. Asante kwa kushiriki
 
Hii ruti ya Moshi- Dar ni utapeli tu. Hata nauli ya Dar- Dom ni nafuu kuliko Dar-Moshi. Nashindwa kuelewa utendaji kazi wa LATRA.
Je nauli zinapangwa kulingana na KM ama utashi wa wenye mabasi?
 
Dar mosh Arusha....kampuni ni BM,Aboud,Tilisho ,esther na has wadogo wadogo wakina extra coach,jader,mozaico n.k....

Kwa kifupi nauli yake ni kubwa haiendani na umbali tunapigwa ni utapeli tu wa haya makampuni kwa kichaka chao cha VIP tena bora aboud ameona aibu gari zake ni 55k ila gari mbovu siti hazilali na makelele ya badi kulialia
 
Back
Top Bottom