DSM - Moshi = 547 km DSM - Kigoma= 1374 Km Nauli ni sawa 60 elfu

DSM - Moshi = 547 km DSM - Kigoma= 1374 Km Nauli ni sawa 60 elfu

Nauli za mabasi ziko kwenye madaraja

Mabasi mengi ya Moshi Arusha ni Full luxury kwasababu barabara nzuri wakati mabasi mengi kama sio yote ya kigoma ni ya kawaida kutokana na changamoto ya umbali na barabara

Latta wanapanga nauli kulingana na Umbali na sio hadhi ya sehemu
 
ishu ni mtu unaenda kufanya nini kigoma?
ni wangapi wanaenda kigoma kila siku?
mwenye gari akipeleka gari yake huko atarudi na watu level seat?
gari ikiharibika mapori ya Igagala na uvinza huko anapata wapi spea? mafuta?
warundi wakiteka basi inakuaje?
kama muwekezaji gawanisha hizo hatari zote kwenye kipato halafa amua nauli iwe sh ngapi. Asante kwa kushiriki
Kwa hizo akili ndio maana insta unajiita Byakunu mgawa utamu
 
Back
Top Bottom