Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,914
- 168,320
Mbona Dar Moshi nauli ni Tshs. 45,000/= tu kwa kampuni ya Esther Luxury Coach, na nauli ya Dar-Kigoma kwa kampuni ya Saratoga ni Tshs.70,000/=Hii imekaaje
DSM - Moshi = 547 km
DSM - Kigoma= 1374 Km
Nauli ni sawa 60 elfu
Umbali wa DSM - kigoma ni zaidi ya mara tatu ya umbali wa DSM - Moshi
Je kwanini nauli ziwe sawa?
DSM-Moshi: Kampuni za mabasi zinashindana kupata abiria kutokana na wingi wa kampuni za mabasi, ushindani huo unaweza kuzuia bei kupanda sana.
Ndo tumuulize mleta uzi anakulupuka bila kuwa na data kamiliMbona Dar Moshi nauli ni Tshs. 45,000/= tu kwa kampuni ya Esther Luxury Coach, na nauli ya Dar-Kigoma kwa kampuni ya Saratoga ni Tshs.70,000/=
Hizo nauli ulizotaja wewe ni za kampuni gani?
Hajakurupuka,Ndo tumuulize mleta uzi anakulupuka bila kuwa na data kamili
Tutumie na luxury Dar-Kigoma. Maana hata Saratoga nilichukua Semi-luxury ambazo ndizo zinatumiwa na wengi kwa njia zote mbiliHajakurupuka,
Hiyo 45,000 ni kwa semi luxury, bus halina washroom, hakuna leg room wala treats za njiani
Kwa mabus luxury yote nauli Dar - Moshi ni 60k. Mfano BM Coach ana bus 17 zinazoenda kaskazini kila siku, kati ya hizo ni 4 tu ndo zina bei ya 47,000 ila zingine zote 13 bei ni 60,000
View attachment 3648552
Bei ni elfu45 ila hiyo elfu15 ni gharama za hizo huduma za ziada.Hajakurupuka,
Hiyo 45,000 ni kwa semi luxury, bus halina washroom, hakuna leg room wala treats za njiani
Kwa mabus luxury yote nauli Dar - Moshi ni 60k. Mfano BM Coach ana bus 17 zinazoenda kaskazini kila siku, kati ya hizo ni 4 tu ndo zina bei ya 47,000 ila zingine zote 13 bei ni 60,000
View attachment 3648552
Nauli za Latra au za vishoka?Hii imekaaje
DSM - Moshi = 547 km
DSM - Kigoma= 1374 Km
Nauli ni sawa 60 elfu
Umbali wa DSM - kigoma ni zaidi ya mara tatu ya umbali wa DSM - Moshi
Je kwanini nauli ziwe sawa?
DSM-Moshi: Kampuni za mabasi zinashindana kupata abiria kutokana na wingi wa kampuni za mabasi, ushindani huo unaweza kuzuia bei kupanda sana.
Hili linahitaji maelezo ya Mamlaka za Serikali kama Latra ndiye mwenye majukumu ya kupanga Bei na huduma za Usafirishaji NchiniHajakurupuka,
Hiyo 45,000 ni kwa semi luxury, bus halina washroom, hakuna leg room wala treats za njiani
Kwa mabus luxury yote nauli Dar - Moshi ni 60k. Mfano BM Coach ana bus 17 zinazoenda kaskazini kila siku, kati ya hizo ni 4 tu ndo zina bei ya 47,000 ila zingine zote 13 bei ni 60,000
View attachment 3648552
Demand and supply chainDSM Hadi mosh Arusha ni ukanda wa hela
ishu ni mtu unaenda kufanya nini kigoma?Hii imekaaje
DSM - Moshi = 547 km
DSM - Kigoma= 1374 Km
Nauli ni sawa 60 elfu
Umbali wa DSM - kigoma ni zaidi ya mara tatu ya umbali wa DSM - Moshi
Je kwanini nauli ziwe sawa?
DSM-Moshi: Kampuni za mabasi zinashindana kupata abiria kutokana na wingi wa kampuni za mabasi, ushindani huo unaweza kuzuia bei kupanda sana.
YapDemand and supply chain