Kwanini ulipie pesa nyingi kwaajili ya kuangalia ligi pendwa duniani??
Misimu ya ligi za soka ndio hio inaanza
Pata channel 4 za soka bure kwaajili ya kuangalia ligi kubwa duniani yaani English Premier League(EPL), Spanish LALIGA, Bundesliga, Serie A, French Ligue 1 pamoja na mashindano makubwa duniani kama UEFA, FA, Capital One, International Championship na Olympic
Pia utaweza kuangalia mashindano mengine ya tennis, golf, mbio za magari, ngumi nk
Huhitaji kulipia kwa mwezi hata thumuni ya pesa yako, gharama itahitajika mwanzoni tu kwaajili ya vifaa na ufundi
Mahitaji;
-Dish kubwa (ft 6 au ft 8)
-Satellite receiver(yenye mfumo wa pv)
-C band LNB
-LNB cable(wire)
-Diseqc switch
[emoji117] Vifaa hivi vyote vinapatikana kwangu pamoja na ufundi
Pia utapata channel zinaonyesha movies,series, mieleka, wanyama, utafiti na sayansi
Mfumo huu una stability 90% reliability 90%, usihofu kukatiwa matangazo au utapeli
Mawasiliano(Call or text)
-0686811173
-0764453848
weka wazi hapa bei na mahar unapopatikana before kuwasiliana mtu awe anajua kabisawhere u are na unafanyaje kaziKwanini ulipie pesa nyingi kwaajili ya kuangalia ligi pendwa duniani??
Misimu ya ligi za soka ndio hio inaanza
Pata channel 4 za soka bure kwaajili ya kuangalia ligi kubwa duniani yaani English Premier League(EPL), Spanish LALIGA, Bundesliga, Serie A, French Ligue 1 pamoja na mashindano makubwa duniani kama UEFA, FA, Capital One, International Championship na Olympic
Pia utaweza kuangalia mashindano mengine ya tennis, golf, mbio za magari, ngumi nk
Huhitaji kulipia kwa mwezi hata thumuni ya pesa yako, gharama itahitajika mwanzoni tu kwaajili ya vifaa na ufundi
Mahitaji;
-Dish kubwa (ft 6 au ft 8)
-Satellite receiver(yenye mfumo wa pv)
-C band LNB
-LNB cable(wire)
-Diseqc switch
[emoji117] Vifaa hivi vyote vinapatikana kwangu pamoja na ufundi
Pia utapata channel zinaonyesha movies,series, mieleka, wanyama, utafiti na sayansi
Mfumo huu una stability 90% reliability 90%, usihofu kukatiwa matangazo au utapeli
Mawasiliano(Call or text)
-0686811173
-0764453848
Nimeweka bandiko ili kuwasaidia wenzangu na mimi, kulipia 219K kila mwezi sio mchezo.Kama imani iko kwa makaburu basi baki hapoTukuamini wewe tuache dstv? Ehe?
Mkuu vifaa na ufundi ni 380k baada ya hapo hulipii tena.Napatikana Dar kwa sasa.weka wazi hapa bei na mahar unapopatikana before kuwasiliana mtu awe anajua kabisawhere u are na unafanyaje kazi
duh nimekua naougopa sana huu mfumoKwanini ulipie pesa nyingi kwaajili ya kuangalia ligi pendwa duniani??
Misimu ya ligi za soka ndio hio inaanza
Pata channel 4 za soka bure kwaajili ya kuangalia ligi kubwa duniani yaani English Premier League(EPL), Spanish LALIGA, Bundesliga, Serie A, French Ligue 1 pamoja na mashindano makubwa duniani kama UEFA, FA, Capital One, International Championship na Olympic
Pia utaweza kuangalia mashindano mengine ya tennis, golf, mbio za magari, ngumi nk
Huhitaji kulipia kwa mwezi hata thumuni ya pesa yako, gharama itahitajika mwanzoni tu kwaajili ya vifaa na ufundi
Mahitaji;
-Dish kubwa (ft 6 au ft 8)
-Satellite receiver(yenye mfumo wa pv)
-C band LNB
-LNB cable(wire)
-Diseqc switch
[emoji117] Vifaa hivi vyote vinapatikana kwangu pamoja na ufundi
Pia utapata channel zinaonyesha movies,series, mieleka, wanyama, utafiti na sayansi
Mfumo huu una stability 90% reliability 90%, usihofu kukatiwa matangazo au utapeli
Mawasiliano(Call or text)
-0686811173
-0764453848
asante sana kwa ufafanuzi huenda nikakutafuta, je channelmhizo tu ama kuna nyingine? WACHA WIKI HII IPITE MAANA TUKIONEA SANA BIL MSHIKO NI KAMA SOTRY TUMkuu vifaa na ufundi ni 380k baada ya hapo hulipii tena.Napatikana Dar kwa sasa.
Mkuu huu sio ule mfumo uujuao wewe, hautumii line wala internet bundleduh nimekua naougopa sana huu mfumo
Hii itakayo onesha mechi moja kila jumamosi tu tena kwa kuchaguaNjo TV 1
na wewe uliamini kuwa TV1 wanaweza kuonesha mechi za epl? labda kama KWETU HAUSE ni sehemu ya EPLNjo TV 1
Ni HD?Kwanini ulipie pesa nyingi kwaajili ya kuangalia ligi pendwa duniani??
Misimu ya ligi za soka ndio hio inaanza
Pata channel 4 za soka bure kwaajili ya kuangalia ligi kubwa duniani yaani English Premier League(EPL), Spanish LALIGA, Bundesliga, Serie A, French Ligue 1 pamoja na mashindano makubwa duniani kama UEFA, FA, Capital One, International Championship na Olympic
Pia utaweza kuangalia mashindano mengine ya tennis, golf, mbio za magari, ngumi nk
Huhitaji kulipia kwa mwezi hata thumuni ya pesa yako, gharama itahitajika mwanzoni tu kwaajili ya vifaa na ufundi
Mahitaji;
-Dish kubwa (ft 6 au ft 8)
-Satellite receiver(yenye mfumo wa pv)
-C band LNB
-LNB cable(wire)
-Diseqc switch
[emoji117] Vifaa hivi vyote vinapatikana kwangu pamoja na ufundi
Pia utapata channel zinaonyesha movies,series, mieleka, wanyama, utafiti na sayansi
Mfumo huu una stability 90% reliability 90%, usihofu kukatiwa matangazo au utapeli
Mawasiliano(Call or text)
-0686811173
-0764453848
Hata super sport 12, 7&5 nazo zipoBei ya 23,500 unapata SELECT ambayo inaonyesha mechi moja tu ambayo ni juamosi tu saa 11 jioni, so katika zile mechi kadhaa za saa 11 jioni jumamosi utaona moja live, siku zingine zote ni mswaki, kumbuka hili lipo tangia zamani