Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,156
- 13,258
Safari hii DStv na msemo wao mpya wa “Hainaga Shobo Tunashangiliaga”, mbinu zao zinaonekana kuwa ni za dhati na mfano kabla ya kuanza kwa msimu wa 2016-17 ambao unaaminika kuwa, utakuwa mtamu zaidi ya mcharo, Multichoice Tanzania wametangaza hadi wale wanaolipia king’amuzi kidogo cha Sh 23,500 kwa mwezi nao wataona mechi live.
Saleh Jembe
Biashara huenda na mivuto ya aina nyingi, je kwa bei hii unaona mechi zote ama chache za akina nanihii? ama kuna tovuti maalum ama ni ile ya 211?
anayejua tafadhali anijuze na mie
Saleh Jembe
Biashara huenda na mivuto ya aina nyingi, je kwa bei hii unaona mechi zote ama chache za akina nanihii? ama kuna tovuti maalum ama ni ile ya 211?
anayejua tafadhali anijuze na mie