muvangulumemile
JF-Expert Member
- May 25, 2020
- 697
- 986
Daa we jamaa,Kwa hiyo ukitumia DStv ndio una pesa?bado una safari ndefu SanaHuna pesa dogo. DSTV tunatumia zaidi ya miaka 20 sasa wala hawana longo longo. Katumie AzAm DSTV tunatumia wenye pesa. Na inashangaza wana gharama za chini sana kuliko huduma nzuri wanayotupa.
Hahaaa shida yako huna jinsia ningekuchukua wewe ukae ndani nione huo utam wa dstvKama una mke ulimuokota kwenye vigodoro hawezi kuipenda DSTV
Hii notion ipo sana na ni ya kipuuz, et ili uonekane umepiga hatua katika maisha umiliki Dstv. Kuna kijumba hapa jirani cha tofali za tope chumba kimoja cha mshikaji hakina hata sakafu ila dish nke dstv. Vipi ni tajiri pia?Daa we jamaa,Kwa hiyo ukitumia DStv ndio una pesa?bado una safari ndefu Sana
Usikute huyo mwenye hicho kijumba ana makampuni Dubai kaamua tu kurahisisha maisha yake ili vibaka msimsumbueHii notion ipo sana na ni ya kipuuz, et ili uonekane umepiga hatua katika maisha umiliki Dstv. Kuna kijumba hapa jirani cha tofali za tope chumba kimoja cha mshikaji hakina hata sakafu ila dish nke dstv. Vipi ni tajiri pia?
Watanzania vitu muhimu tu kwa matumizi ya binadamu wao wanaamini katika pesa kwa sababu kupata hivyo vitu unavuja jasho kweli kwa wenzetu TV wapo QNED sisi bado hata QLED haijasambaa na wengi tunaotumia Uhd ndio tunaisifia kweli rangi ya dstv maana TV zetu magumashi inabidi kisimbuzi kitumike kuweka clear picha..Hii notion ipo sana na ni ya kipuuz, et ili uonekane umepiga hatua katika maisha umiliki Dstv. Kuna kijumba hapa jirani cha tofali za tope chumba kimoja cha mshikaji hakina hata sakafu ila dish nke dstv. Vipi ni tajiri pia?
Idiot baba yakoGrow up idiot, kwan ukiwajibu huitaji huduma hiyo kuna shida? Sema hapana tu, hawakulazimishi
Tatizo sio sitaki .......hapana........nimeshalipia lakini bado system yao inataka nilipe tena inipandishe kitu ambacho sikitaki maana package niliyolipia ndio chaguo langu ...........Hutaki unaacha
Huduma nzuri wapi movie za miaka ambayo nilikuwa nabalehe bwana.Huna pesa dogo. DSTV tunatumia zaidi ya miaka 20 sasa wala hawana longo longo. Katumie AzAm DSTV tunatumia wenye pesa. Na inashangaza wana gharama za chini sana kuliko huduma nzuri wanayotupa.
Kabisa hawa madogo washamba hawana pesa wanaleta upuuzi kuhusu Dstv wamezoa azamNipo na DSTV zaidi ya miaka 15 na sijawahi kujuta. Huduma ni nzuri sana.
Kifurushi nacholipia mimi ni mshahara wa mtu kwa mwezi. Kama sina pesa nsingeweza lipia.Daa we jamaa,Kwa hiyo ukitumia DStv ndio una pesa?bado una safari ndefu Sana
Huduma nzuri wapi movie za miaka ambayo nilikuwa nabalehe bwana.
Wao kwenye boli hapo kweli uefa champions league na epl
Mkuu kwanini unasema ukweli sana ona sasa umepiga jichoniKama una mke ulimuokota kwenye vigodoro hawezi kuipenda DSTV
Hamia Azam buLazaTatizo sio sitaki .......hapana........nimeshalipia lakini bado system yao inataka nilipe tena inipandishe kitu ambacho sikitaki maana package niliyolipia ndio chaguo langu ...........
Kweli kama mke wake kamtoa Kazulamika au Matombo ni ngumu kuielewa Dstv, yete amnunulie Star times au Azam hizo ndiyo Kampuni za watu wanyonge wa Kipato na Elimu. Ila Dstv ni ya watu walio lelewa sehemu za mjini na maisha ya kati.Kama una mke ulimuokota kwenye vigodoro hawezi kuipenda DSTV
Mkuu ukitumia Dstv kamaanisha utakua una pesa au ulikua na pesa au kwenu kulikua na Vijisenti.Daa we jamaa,Kwa hiyo ukitumia DStv ndio una pesa?bado una safari ndefu Sana
hii meza unayotikisa ina vinywaji ghari sana ndugu yangu, kuwa makini😸😁😁😂Kama una mke ulimuokota kwenye vigodoro hawezi kuipenda DSTV