Meja Jenerali Isamuhyo
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 3,709
- 10,896
Shilingi ngapiMbona ipo iyo dstv business, unalipia chanel za mpila tu kwa bei nafuu
Bei ganMbona ipo iyo dstv business, unalipia chanel za mpila tu kwa bei nafuu
Dstv business ni tofauti na walichotangaza Dstv mkuu..Mbona ipo iyo dstv business, unalipia chanel za mpila tu kwa bei nafuu
Jamaa wapuuzi sana wanapandisha bei kila siku huku huduma ile ilePia waangalie na bei, maana wasijeleta bei za afu 67
Ni kweli kabisaMbona nasikia kampuni imeuzwa kwa canal?
Rudia tena kusomasijaelewa, sasa kimebadilika nini si bado ni cheneli
Vuta subra..Kwa mwezi tutakuwa tunalipia TSH ngapi?
Okay.Vuta subra..