DStv kuja na vifurushi maalum vyenye chaneli za mpira tu

DStv kuja na vifurushi maalum vyenye chaneli za mpira tu

DStv wameshtuka baada ya kupoteza mamilioni ya watazamaji wake.

Dunia ya teknolojia, watu wana stream mechi hawalipii tena vifurushi.

DStv wako mbioni kutuletea vifurushi pekee vyenye chaneli za michezo pekee kama wafanyavyo Canal Sports.

Hii ikitiki itakuwa safi, japo wamechelewa sana.View attachment 3368603
Wakifanya hivyo wamenikamata!
 
Back
Top Bottom