Tetesi: DSTV kuleta king'amuzi cha antenna

Bei zao zipoje
Bado hakiuzwi Tanzania kipo Kenya, Uganda South Africa, Nigeria na baadhi ya sehemu za africa. Kila nchi ina bei zake ila malipo ya vifurushi yanafanana na Azam TV kwa gharama.
 
Hv bdo tu mnalalamika na DSTV?...mm naona ligi 5 zote za ulaya kwa HD plus ligi ya ubelgiji na ureno(mechi moja moja).... bureee..nshaachana na hayo mawazo ya DSTV
 
Shida sio bei ya decorder shida ni bei ya vifurushi
 
Hv bdo tu mnalalamika na DSTV?...mm naona ligi 5 zote za ulaya kwa HD plus ligi ya ubelgiji na ureno(mechi moja moja).... bureee..nshaachana na hayo mawazo ya DSTV

Una tumia nn
 
Epl waweke 25,000 tujimwage hapo kwa ushindi mnono.
Kua serious kidogo mkuu Premier League waoneshe kwa 25,000? Wao wenyewe wanalipa Zaidi ya Pauni Milioni 300 kupata haki ya kuonyesha piga hesabu hapo kwa hela za madafu ni shingapi ..na hiyo ni kwa misimu mitatu tu . Lazima nasisi watugonge hela yao irudi
 
Kwani wanalipia tuu kuonesha tanzania au nchi zote
 
Mimi nilishawahi kuwashauri waanzishe pay per view.
Yani nalipia kucheki match days tu au mechi zangu nazotaka kuona.
Sio kunilipisha elfu 80 kwa mwezi wakati naangalia game chache tu kwa week end moja na kwa mwezi mzima pia. Nikajibiwa tutalifanyia kazi majamaa ni majizi haya.
 
Sio sawa kuwaita majizi hawawezi kuchukua mawazo ya kila mtu na kuyaimpliment,lazima wafanye research na feasibility study ya kila wazo,kama liko feasible technologically and economically
 
Yaani visimbuzi tuko nyuma sana kwa nini tutumie dishi au antena waweke wayaless tu kama simu
 
Sio sawa kuwaita majizi hawawezi kuchukua mawazo ya kila mtu na kuyaimpliment,lazima wafanye research na feasibility study ya kila wazo,kama liko feasible technologically and economically
Nimekupata mkuu
 
Back
Top Bottom