Squidward
JF-Expert Member
- Jul 21, 2014
- 7,828
- 9,546
Bado hakiuzwi Tanzania kipo Kenya, Uganda South Africa, Nigeria na baadhi ya sehemu za africa. Kila nchi ina bei zake ila malipo ya vifurushi yanafanana na Azam TV kwa gharama.Bei zao zipoje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado hakiuzwi Tanzania kipo Kenya, Uganda South Africa, Nigeria na baadhi ya sehemu za africa. Kila nchi ina bei zake ila malipo ya vifurushi yanafanana na Azam TV kwa gharama.Bei zao zipoje
Hivi Kwa nini hawa jamaa hawana washindani TZ? Wana mambo mazuri ila vifurushi vyao ni balaaKweli asee vifurushi bei juu[emoji41]
Hv bdo tu mnalalamika na DSTV?...mm naona ligi 5 zote za ulaya kwa HD plus ligi ya ubelgiji na ureno(mechi moja moja).... bureee..nshaachana na hayo mawazo ya DSTV
Kua serious kidogo mkuu Premier League waoneshe kwa 25,000? Wao wenyewe wanalipa Zaidi ya Pauni Milioni 300 kupata haki ya kuonyesha piga hesabu hapo kwa hela za madafu ni shingapi ..na hiyo ni kwa misimu mitatu tu . Lazima nasisi watugonge hela yao irudiEpl waweke 25,000 tujimwage hapo kwa ushindi mnono.
Kua serious kidogo mkuu Premier League waoneshe kwa 25,000? Wao wenyewe wanalipa Zaidi ya Pauni Milioni 300 kupata haki ya kuonyesha piga hesabu hapo kwa hela za madafu ni shingapi ..na hiyo ni kwa misimu mitatu tu . Lazima nasisi watugonge hela yao irudi
Basi unataka uulizwe unatumia nini? Si uweke mambo hadharaniHv bdo tu mnalalamika na DSTV?...mm naona ligi 5 zote za ulaya kwa HD plus ligi ya ubelgiji na ureno(mechi moja moja).... bureee..nshaachana na hayo mawazo ya DSTV
Atakuambia njoo PMBasi unataka uulizwe unatumia nini? Si uweke mambo hadharani
Canal + kwa bongo wanapatikana wapi ofisi zao?Wao wangeunda package yao tu ya sports kama ilivyo canal ( 42 elfu ) ya kibongo ligi zote muhimu kwa ukanda wetu unaziona
Canal hawaongei kingereza hivyo unakosa uhondo wa commentatorsCanal + kwa bongo wanapatikana wapi ofisi zao?
Kuna baa zitakufa ndugu yangu,tuwe na huruma kwa wenzetuEpl waweke 25,000 tujimwage hapo kwa ushindi mnono.
Sio sawa kuwaita majizi hawawezi kuchukua mawazo ya kila mtu na kuyaimpliment,lazima wafanye research na feasibility study ya kila wazo,kama liko feasible technologically and economicallyMimi nilishawahi kuwashauri waanzishe pay per view.
Yani nalipia kucheki match days tu au mechi zangu nazotaka kuona.
Sio kunilipisha elfu 80 kwa mwezi wakati naangalia game chache tu kwa week end moja na kwa mwezi mzima pia. Nikajibiwa tutalifanyia kazi majamaa ni majizi haya.
mkuu unatumia kingamuz gani?Hv bdo tu mnalalamika na DSTV?...mm naona ligi 5 zote za ulaya kwa HD plus ligi ya ubelgiji na ureno(mechi moja moja).... bureee..nshaachana na hayo mawazo ya DSTV
Nimekupata mkuuSio sawa kuwaita majizi hawawezi kuchukua mawazo ya kila mtu na kuyaimpliment,lazima wafanye research na feasibility study ya kila wazo,kama liko feasible technologically and economically