Mimi niliongea nao kuwashauli kama kungelikuwa na special package ya channel 10_20, au mteja uchague channel 10_20 unazopenda kuangalia na kuwe na malipo yake tofauti, ila jamaa ni wabishi sana na sasa naangalia option nyingineshida ya dstv ni kulipia usichotazama.. wanaka ulipie chaneli 100/wakati unazama 6 tu nafikiri ni wakati wa kulipia channel unazotaka tu
Unaipataje bein sports kwa hapa Tanzania?Nitakie nini DSTV wakati kuna baba lake BEIN SPORTS
Unaipataje bein sports kwa hapa Tanzania?
Hii ya wapi tena mkuu?sasa hivi tuna xtv kaburu atatusikia kwa bomba
Unaipataje bein sports kwa hapa Tanzania?
Sijajua aise.lakini nimeona kwa jamaa anaenjoy sana. Wanaojua watusaidie
Online
Huku ni mechi zote iwe CAF iwe UEFA iwe za kufuzi,kirafiki n.k
Mkuu ni kupitia App ya MobdroNaombeni mtoe maelezo ambaya yanaeleweka, mtu kauliza tunaipataje kila mtu online
Tununue device gani zitakazoweka kustream kupata hizo channel ili kuondokana na hili dubwana la dstv
Mkuu ni kupitia App ya Mobdro
inapatikana Google ina chanel za kimataifa kuhusu kila kitu km DSTv tu kuna Skysports n.k
Kuna chanel kibao hadi za movie na wanyama,katuni n.k
Nenda google ili kuinstall hiyo App(Mobdro)
Hii haulipii zaidi ya bando lako tu
haitumii MB nyingi
Android phoneHii ni kwenye simu? Na vp kwa wale wanaotumia device za ios?
kila nikiijaribu hiyo app siwez kumaliza mechi kwa sabab ya kugandaganda kwa picha au ninyi mnawezaje ku stream bila picha kukwama kwama?Mkuu ni kupitia App ya Mobdro
inapatikana Google ina chanel za kimataifa kuhusu kila kitu km DSTv tu kuna Skysports n.k
Kuna chanel kibao hadi za movie na wanyama,katuni n.k
Nenda google ili kuinstall hiyo App(Mobdro)
Hii haulipii zaidi ya bando lako tu
haitumii MB nyingi
Android phone
kuhusu ios sijui
Ila hata Smart Tv inakubali
Hilo tatizo lipo sana tukila nikiijaribu hiyo app siwez kumaliza mechi kwa sabab ya kugandaganda kwa picha au ninyi mnawezaje ku stream bila picha kukwama kwama?
kwa sasa natumia mtandao wa totalsportek kuangalia mechi ninayo taka safi kabisa bila kuganda ganda.
ujitaka kucheki mechi lbda ya manu vs man city una google tu
man u totalsportek utakutana na link zaidi ya 20 zenye kuonesha mechi husika
pamoja sana kazi yako itakua kuchagua link ambayo itakufaa usidhani utaingia link moja tu ufanikishe zoezi ila ukifanikisha hakuna kugandagandaHilo tatizo lipo sana tu
si unajua mitandao ya kibongo halafu watu kibao tunagombea server
Ahsante kwa kunijuza hiyo njia nyingine
Huko CECAFA, "Expansion Joint" wetu mpaka sasa wana point moja!Achana nao TBC ipo tutaangaria cecafa
Tupe link mkuu ya iyo totalsportek mkuukila nikiijaribu hiyo app siwez kumaliza mechi kwa sabab ya kugandaganda kwa picha au ninyi mnawezaje ku stream bila picha kukwama kwama?
kwa sasa natumia mtandao wa totalsportek kuangalia mechi ninayo taka safi kabisa bila kuganda ganda.
ujitaka kucheki mechi lbda ya manu vs man city una google tu
man u totalsportek utakutana na link zaidi ya 20 zenye kuonesha mechi husika
sio bure ila ni nafuu sana ukilinganisha na dstv wasiliana +86 186 0305 4875 via whatsaap anatoa test account ya siku 7