DSTV kuonyesha Michuano ya UEFA kwa misimu mitatu kuanzia 2018/19

shida ya dstv ni kulipia usichotazama.. wanaka ulipie chaneli 100/wakati unazama 6 tu nafikiri ni wakati wa kulipia channel unazotaka tu
Mimi niliongea nao kuwashauli kama kungelikuwa na special package ya channel 10_20, au mteja uchague channel 10_20 unazopenda kuangalia na kuwe na malipo yake tofauti, ila jamaa ni wabishi sana na sasa naangalia option nyingine
 
Unaipataje bein sports kwa hapa Tanzania?

Sijajua aise.lakini nimeona kwa jamaa anaenjoy sana. Wanaojua watusaidie
484a5d88a62aa37bf6856ffb08312bb5.jpg

Online

Huku ni mechi zote iwe CAF iwe FIFA UEFA iwe za kufuzu,kirafiki n.k
 
Mwanzo ilikuwa mobdro ila wakaitoa mwenye ujuzi kweli atusaidie ni nzuri sana!!
 
Naombeni mtoe maelezo ambaya yanaeleweka, mtu kauliza tunaipataje kila mtu online

Tununue device gani zitakazoweka kustream kupata hizo channel ili kuondokana na hili dubwana la dstv
Mkuu ni kupitia App ya Mobdro
inapatikana Google ina chanel za kimataifa kuhusu kila kitu km DSTv tu kuna Skysports n.k
Kuna chanel kibao hadi za movie na wanyama,katuni n.k
9c19f23af3c08e8bbed4286bc79b93c4.jpg

Nenda google ili kuinstall hiyo App(Mobdro)
Hii haulipii zaidi ya bando lako tu
haitumii MB nyingi
 
Hii ni kwenye simu? Na vp kwa wale wanaotumia device za ios?
 
Mkuu ni kupitia App ya Mobdro
inapatikana Google ina chanel za kimataifa kuhusu kila kitu km DSTv tu kuna Skysports n.k
Kuna chanel kibao hadi za movie na wanyama,katuni n.k
9c19f23af3c08e8bbed4286bc79b93c4.jpg

Nenda google ili kuinstall hiyo App(Mobdro)
Hii haulipii zaidi ya bando lako tu
haitumii MB nyingi
kila nikiijaribu hiyo app siwez kumaliza mechi kwa sabab ya kugandaganda kwa picha au ninyi mnawezaje ku stream bila picha kukwama kwama?

kwa sasa natumia mtandao wa totalsportek kuangalia mechi ninayo taka safi kabisa bila kuganda ganda.

ujitaka kucheki mechi lbda ya manu vs man city una google tu
man u totalsportek utakutana na link zaidi ya 20 zenye kuonesha mechi husika
 
Hilo tatizo lipo sana tu
si unajua mitandao ya kibongo halafu watu kibao tunagombea server

Ahsante kwa kunijuza hiyo njia nyingine

Msimu huu sijaenda kibanda umiza
 
DStv wana App inaitwa DStv Now inakupatia channel zote ulizolipia kwenye king'amuzi kupitia simu yako! Japokuwa ni gharama kuhusu vifurushi naona wame-advance!
 
kila nikiijaribu hiyo app siwez kumaliza mechi kwa sabab ya kugandaganda kwa picha au ninyi mnawezaje ku stream bila picha kukwama kwama?

kwa sasa natumia mtandao wa totalsportek kuangalia mechi ninayo taka safi kabisa bila kuganda ganda.

ujitaka kucheki mechi lbda ya manu vs man city una google tu
man u totalsportek utakutana na link zaidi ya 20 zenye kuonesha mechi husika
Tupe link mkuu ya iyo totalsportek mkuu
sio bure ila ni nafuu sana ukilinganisha na dstv wasiliana +86 186 0305 4875 via whatsaap anatoa test account ya siku 7
 
Back
Top Bottom