Mimi si mtu nayetazama sana tv. Nalipia hicho kifurushi kwa sababu watu nnaoishi nao wanapenda channel namba 165 na 168 maisha magic, na 171 ambapo hazipatikani katikq kifurushi cha chini ya hapo. Bila hizo channel wanazopenda ningekuwa nalipia kifurushi cha chini zaidi.
Mimi mambo yote nayopenda nayapata kwenye internet.