wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,216
- 37,757
Nenda ofisi yao ya karibu kawafire wote haswa yule meneja wao masoko mweupe anajifanya chotara piga pumbu
Hahahah aiseee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda ofisi yao ya karibu kawafire wote haswa yule meneja wao masoko mweupe anajifanya chotara piga pumbu
Kwenye channel ya kiswahili (160) wanaweka marudio ya michezo iliyooneshwa 2015, kwa wiki unaangalia mchezo huohuo hata mara 4. Hawajali value for money kwa wateja. Ukiwaambia waboreshe maudhui wanapotezea, kazi kuhamisha channel bila taarifa kwenda vifurushi vya juu
DStv wanalipa zaidi ya Bilioni 300 kwa mwaka kuonesha Premier League alafu unataka wewe uangalie kwa 15000 mzee?
Principle za kibiashara hapa Tz zinaumiza vichwa vya watu Na hawazifahamu.DStv wanalipa zaidi ya Bilioni 300 kwa mwaka kuonesha Premier League alafu unataka wewe uangalie kwa 15000 mzee?
Kwani na wewe lazima usome kila uzi?? Kama katiba ya nchi inavunjwa kwa miaka sita mfululizo mko kimyaaa sembuse kuhamisha uzi mkuu? Potezea tuu...Hii inafanya nn huku jukwaa la siasa?
Kama sipendi soka kuna la ziada huko Di Es tivii wajameni?? Nauliza tuu kwa upendo...Achana na dstv family... Lipia compact au compact plus...utaenjoy soka...
unaweza kuangalia Big Brother Naija uone watu wanavogegedana liveKama sipendi soka kuna la ziada huko Di Es tivii wajameni?? Nauliza tuu kwa upendo...
Nitaona vitu gani miye ambaye sipendi mpira? Nilikuwa napenda mpira enzi za akina Ronaldo, Gaucho, Beckham, Zidane, Lois figo etc na kocha yule Colina Kipara wa Italy... Siku hizi walaa sivutiwi tenaaDstv ukitaka kuenjoy anza na compact, ukitaka usahau na shida za dunia plus tozo lipia compact plus ukitka uhisi upo peponi na dunia yako lipia champion.
Sijawahi kuona faida ya TCRA zaidi ya kufungia magazeti na TV/radio...Ninasubiri kikao cha bodi cha TCRA ndio shauri langu na DSTV litasikilizwa. Wanatuibia sana hawa watu
Mkuu mbona YUTONG bus inauzwa milioni 300 mpaka 400 na wewe ukienda Dar to Arusha walipa elfu 30 tuu?DStv wanalipa zaidi ya Bilioni 300 kwa mwaka kuonesha Premier League alafu unataka wewe uangalie kwa 15000 mzee?
Hahahaaaa hapana mkuu mi ni movies, documentaries etc etcunaweza kuangalia Big Brother Naija uone watu wanavogegedana live
Umenena vema mkuuNenda ofisi yao ya karibu kawafire wote haswa yule meneja wao masoko mweupe anajifanya chotara piga pumbu
Naam,niko kwenye hatua ya kutafuta king'amuzi cha canal+WATANZIA WAKATI UMEFIKA
muache kulalama tu,issue kama
Hiyo ikikutokea au unaona hupendezi
Nayo achana nayo kutumia
Ova
Hiyo ndy dawa yaoNaam,niko kwenye hatua ya kutafuta king'amuzi cha canal+
Canal + kikoje hiko mkuuNaam,niko kwenye hatua ya kutafuta king'amuzi cha canal+