DSTV wanakera kwa kuibia wateja

DSTV wanakera kwa kuibia wateja

Kwenye channel ya kiswahili (160) wanaweka marudio ya michezo iliyooneshwa 2015, kwa wiki unaangalia mchezo huohuo hata mara 4. Hawajali value for money kwa wateja. Ukiwaambia waboreshe maudhui wanapotezea, kazi kuhamisha channel bila taarifa kwenda vifurushi vya juu

Beki 3 wako alikulalamikia wanarudia maigizo ya zamani kwny hio chan 160?
 
DStv wanalipa zaidi ya Bilioni 300 kwa mwaka kuonesha Premier League alafu unataka wewe uangalie kwa 15000 mzee?
DStv wanalipa zaidi ya Bilioni 300 kwa mwaka kuonesha Premier League alafu unataka wewe uangalie kwa 15000 mzee?
Principle za kibiashara hapa Tz zinaumiza vichwa vya watu Na hawazifahamu.

Dstv wafanye biashara isiyo Na faida kisa kelele za wananchi ??? Hakuna Tajiri mjinga kiasi hicho.
 
Mleta mada ulinunua king'amuzi cha kishua ukidhani ni lelemama, komaa au kama vipi nunua continental au zuku. Huko kuna vifurushi mpaka vya jero.
 
Mkuu lipia compact plus tu au zaidi u enjoy yaani weekend Kama hii ni kushinda sitting room tu
 
Biashara kubwa ya DSTV ni premier league. Hapo wako makini sana kuchambua uone mechi zipi na usione zipi.
 
Dstv ukitaka kuenjoy anza na compact, ukitaka usahau na shida za dunia plus tozo lipia compact plus ukitka uhisi upo peponi na dunia yako lipia champion.
Nitaona vitu gani miye ambaye sipendi mpira? Nilikuwa napenda mpira enzi za akina Ronaldo, Gaucho, Beckham, Zidane, Lois figo etc na kocha yule Colina Kipara wa Italy... Siku hizi walaa sivutiwi tenaa
 
Ninasubiri kikao cha bodi cha TCRA ndio shauri langu na DSTV litasikilizwa. Wanatuibia sana hawa watu
Sijawahi kuona faida ya TCRA zaidi ya kufungia magazeti na TV/radio...
 
DStv wanalipa zaidi ya Bilioni 300 kwa mwaka kuonesha Premier League alafu unataka wewe uangalie kwa 15000 mzee?
Mkuu mbona YUTONG bus inauzwa milioni 300 mpaka 400 na wewe ukienda Dar to Arusha walipa elfu 30 tuu?
 
daaaah dstv wanauzi kisenge
Mpendwa Mteja, kutakuwa na mabadiliko kidogo ya bei ya kifurushi chako cha Compact ambapo itakuwa Sh. 51,000 kuanzia Septemba1, 2021.

Na
Mpendwa Mteja, kutakuwa na mabadiliko kidogo ya bei ya kifurushi chako cha Compact Plus ambapo itakuwa Sh. 93,000 kuanzia Septemba1, 2021
 
Back
Top Bottom