Kweli Mkuu, wanarudia sana vipindi mpaka wanaboa. Pia weekends hawana vipindi vizuri zaidi ya EPL kama ni msimu wake!!No, ni gharama kubwa mno. Hawana vipindi vipya sana, movies wanazirudia weeee, tangu naangalia nikiwa shule mpaka sasa nakaribia kustaafu ni zike zile.
Wakina mama wanaangalia series zilizooneshwa tangu kipindi cha Passion ya ITV. 2020 unaonesha movie ya 1978 kwaajili ya?
Kuna siku unashika remote control, unaanza 103 mpaka 198, huoni cha maana kwa zaidi ya masaa 8, na vingi unakuta umeshaangalia kwenye hiyo hiyo DStv
Ongezeni local channelMwaka mmoja baada ya kushusha bei ya vifurushi vyake, kampuni ya Multichoice kupitia Digital Setilitte Television (Dstv) imetangaza bei mpya ya vifurushi vyake. Bei hizo zitaanza rasmi Septemba mosi mwaka huu. Bei mpya ya vifurushi vya Dstv ni kama inavyoonekana hapo pichaniView attachment 1525171
Ndugu mwana JF ukiwa kama mdau wa Dstv unamaoni gani kuhusu bei hizi mpya? Na ungependa nini kiongezwe au kipunguzwe ili kuendana na bei mpya ya mwezi Septemba??
Sawa si tumeingia Uchumi wa kati.
2015 nilikua na dish la azam,kuna frequency ziliwekwa humu JF nikaenda kuzi-set nikapata Channel ya Hustler Tv kule ni mikasi tu mwanzo mwisho 24/7 sijui kama mpk leo bado ipo maana niliifuta baada ya kuona watoto wanaweza kuiona nikahamia na nikahamia dstv.DSTV ni lini wataweka "mambo ya kikubwa" huko?
Hahaha waweke hiyo channel aisee, tutaruhusu wapandishe bei watakavyo.2015 nilikua na dish la azam,kuna frequency ziliwekwa humu JF nikaenda kuzi-set nikapata Channel ya Hustler Tv kule ni mikasi tu mwanzo mwisho 24/7 sijui kama mpk leo bado ipo maana niliifuta baada ya kuona watoto wanaweza kuiona nikahamia na nikahamia dstv.
Uchumi wa Kati wa chini.Sawa si tumeingia Uchumi wa kati.
Unawekaje hii asee2015 nilikua na dish la azam,kuna frequency ziliwekwa humu JF nikaenda kuzi-set nikapata Channel ya Hustler Tv kule ni mikasi tu mwanzo mwisho 24/7 sijui kama mpk leo bado ipo maana niliifuta baada ya kuona watoto wanaweza kuiona nikahamia na nikahamia dstv.
Nunsu nusu kivipi kiongozi wakati tumetangaziwa nchi imeingia Uchumi wa kati.Uchumi wa Kati wa chini.
Msipende kuandika vitu nusu nusu
Kuna uzi wa frequencies ulikuwepo humu JF,na decorder za azam zilikua zinaruhusu ku-add channels tofauti na dstv so ilikua ni easy tu mkuu .Unawekaje hii asee
Mtaweza kulipia ? Azam kwa bei anayotoza kwa mpira ni sawa na bure.
Kweli kabisa bora turudi analog tujue moja, watakao taka kubaki digital wabaki, hizi Gharama za kila mwezi ni shidaNo, ni gharama kubwa mno. Hawana vipindi vipya sana, movies wanazirudia weeee, tangu naangalia nikiwa shule mpaka sasa nakaribia kustaafu ni zike zile.
Wakina mama wanaangalia series zilizooneshwa tangu kipindi cha Passion ya ITV. 2020 unaonesha movie ya 1978 kwaajili ya?
Kuna siku unashika remote control, unaanza 103 mpaka 198, huoni cha maana kwa zaidi ya masaa 8, na vingi unakuta umeshaangalia kwenye hiyo hiyo DStv
Kitu kama wewe umeshakiona inawezekana kuna wengine uko duniani hawajakiona. kwahiyo wewe kama umeshaona siunaruka tu kwenye chanel nyingine.No, ni gharama kubwa mno. Hawana vipindi vipya sana, movies wanazirudia weeee, tangu naangalia nikiwa shule mpaka sasa nakaribia kustaafu ni zike zile.
Wakina mama wanaangalia series zilizooneshwa tangu kipindi cha Passion ya ITV. 2020 unaonesha movie ya 1978 kwaajili ya?
Kuna siku unashika remote control, unaanza 103 mpaka 198, huoni cha maana kwa zaidi ya masaa 8, na vingi unakuta umeshaangalia kwenye hiyo hiyo DStv
Na channel pia.Waongeze na Radio za kibongo
Yaaani wanaboa sana mimi huwa nalipia sababu wife anaprnda sijui selina lakini nimemwambia sahv hapana aisee dstv wanakera sana movie ni zile zile kila sikuNo, ni gharama kubwa mno. Hawana vipindi vipya sana, movies wanazirudia weeee, tangu naangalia nikiwa shule mpaka sasa nakaribia kustaafu ni zike zile.
Wakina mama wanaangalia series zilizooneshwa tangu kipindi cha Passion ya ITV. 2020 unaonesha movie ya 1978 kwaajili ya?
Kuna siku unashika remote control, unaanza 103 mpaka 198, huoni cha maana kwa zaidi ya masaa 8, na vingi unakuta umeshaangalia kwenye hiyo hiyo DStv
Hao jamaa wanaonesha nini cha kuvutia kwa akina sisi wa upande huu au tunawalipia wengine?Nafikiri sababu ya kuirudisha ESPN SPORTS ndio kuongezeka kwa gharama