Dstv wapandisha bei ya vifurushi kuanzia Septemba 1 mwaka huu

No, ni gharama kubwa mno. Hawana vipindi vipya sana, movies wanazirudia weeee, tangu naangalia nikiwa shule mpaka sasa nakaribia kustaafu ni zike zile.

Wakina mama wanaangalia series zilizooneshwa tangu kipindi cha Passion ya ITV. 2020 unaonesha movie ya 1978 kwaajili ya?

Kuna siku unashika remote control, unaanza 103 mpaka 198, huoni cha maana kwa zaidi ya masaa 8, na vingi unakuta umeshaangalia kwenye hiyo hiyo DStv
Kweli Mkuu, wanarudia sana vipindi mpaka wanaboa. Pia weekends hawana vipindi vizuri zaidi ya EPL kama ni msimu wake!!
 
Mwaka mmoja baada ya kushusha bei ya vifurushi vyake, kampuni ya Multichoice kupitia Digital Setilitte Television (Dstv) imetangaza bei mpya ya vifurushi vyake. Bei hizo zitaanza rasmi Septemba mosi mwaka huu. Bei mpya ya vifurushi vya Dstv ni kama inavyoonekana hapo pichaniView attachment 1525171

Ndugu mwana JF ukiwa kama mdau wa Dstv unamaoni gani kuhusu bei hizi mpya? Na ungependa nini kiongezwe au kipunguzwe ili kuendana na bei mpya ya mwezi Septemba??
Ongezeni local channel
 
DSTV ni lini wataweka "mambo ya kikubwa" huko?
2015 nilikua na dish la azam,kuna frequency ziliwekwa humu JF nikaenda kuzi-set nikapata Channel ya Hustler Tv kule ni mikasi tu mwanzo mwisho 24/7 sijui kama mpk leo bado ipo maana niliifuta baada ya kuona watoto wanaweza kuiona nikahamia na nikahamia dstv.
 
Hahaha waweke hiyo channel aisee, tutaruhusu wapandishe bei watakavyo.
 
2015 nilikua na dish la azam,kuna frequency ziliwekwa humu JF nikaenda kuzi-set nikapata Channel ya Hustler Tv kule ni mikasi tu mwanzo mwisho 24/7 sijui kama mpk leo bado ipo maana niliifuta baada ya kuona watoto wanaweza kuiona nikahamia na nikahamia dstv.
Unawekaje hii asee
 
Uchumi wa Kati wa chini.

Msipende kuandika vitu nusu nusu
Nunsu nusu kivipi kiongozi wakati tumetangaziwa nchi imeingia Uchumi wa kati.

Nchi ikiingia uchumi wa kati gharama za maisha zinabadilika.

Halafu usinifokee Mimi nimenukuu tu tamko la serikali ya awamu ya tano.
 
Ni vizuri kama wangeshusha gharama zao ili ziwe chini sana halafu wateja wangekuwa wengi sana.
Kama Dstv huko South Afrika gharama ziko chini sana, kwanini Tanzania ishindikane?
 
No, ni gharama kubwa mno. Hawana vipindi vipya sana, movies wanazirudia weeee, tangu naangalia nikiwa shule mpaka sasa nakaribia kustaafu ni zike zile.

Wakina mama wanaangalia series zilizooneshwa tangu kipindi cha Passion ya ITV. 2020 unaonesha movie ya 1978 kwaajili ya?

Kuna siku unashika remote control, unaanza 103 mpaka 198, huoni cha maana kwa zaidi ya masaa 8, na vingi unakuta umeshaangalia kwenye hiyo hiyo DStv
Kweli kabisa bora turudi analog tujue moja, watakao taka kubaki digital wabaki, hizi Gharama za kila mwezi ni shida
 
No, ni gharama kubwa mno. Hawana vipindi vipya sana, movies wanazirudia weeee, tangu naangalia nikiwa shule mpaka sasa nakaribia kustaafu ni zike zile.

Wakina mama wanaangalia series zilizooneshwa tangu kipindi cha Passion ya ITV. 2020 unaonesha movie ya 1978 kwaajili ya?

Kuna siku unashika remote control, unaanza 103 mpaka 198, huoni cha maana kwa zaidi ya masaa 8, na vingi unakuta umeshaangalia kwenye hiyo hiyo DStv
Kitu kama wewe umeshakiona inawezekana kuna wengine uko duniani hawajakiona. kwahiyo wewe kama umeshaona siunaruka tu kwenye chanel nyingine.
 
No, ni gharama kubwa mno. Hawana vipindi vipya sana, movies wanazirudia weeee, tangu naangalia nikiwa shule mpaka sasa nakaribia kustaafu ni zike zile.

Wakina mama wanaangalia series zilizooneshwa tangu kipindi cha Passion ya ITV. 2020 unaonesha movie ya 1978 kwaajili ya?

Kuna siku unashika remote control, unaanza 103 mpaka 198, huoni cha maana kwa zaidi ya masaa 8, na vingi unakuta umeshaangalia kwenye hiyo hiyo DStv
Yaaani wanaboa sana mimi huwa nalipia sababu wife anaprnda sijui selina lakini nimemwambia sahv hapana aisee dstv wanakera sana movie ni zile zile kila siku
 
Back
Top Bottom