Dstv wapandisha bei ya vifurushi kuanzia Septemba 1 mwaka huu

Kipindi cha corona tulikua loyal kwao tulilipa vifurushi kama kawaida hata kam kulikua hamna mechi yoyote

Sasaivi ligi zimerudi yani badala ya kutuonea huruma kidogo ndokwanzaa wanakandamizaaa !! Dah kweli mfanyabiashara yeye anaangalia maslahi yake tu

Basi Champions League waachie kidogo atleast waweke kwenye compact hamnaaa wamebana mule mule tu compact plus
 
Dstv hawafanyi production ya mechi za EPL

Production ni za Skysport na PL tv..hata wale wachambuzi wanakuwa London na ni wafanyakazi wa PL tv production

Ilo linafahamika iweje dstv wako na license ya kuonesha matangazo South Africa mpira unaonekana vizuri.
 
Ilo linafahamika iweje dstv wako na license ya kuonesha matangazo South Africa mpira unaonekana vizuri.
Sasa mkuu hapo si simple tu,kuwa Dstv wanapokea link yenye production tayari kutoka UK iliyo bora na channel zao ni HD za kweli

Azam wanaonyesha mpira kwa kutumia kamera zao kabisa,yaani ndo wanaofanya production,na bado teknologia yao ipo nyuma
 
Nazungumzia ligi ya South Africa mbona wanaonesha kwa ubora kutumia camera zao ..picha angavu kabisa
 
Azam mimi naona nikama wana inyonya sana TFF kwenye haki ya matangazo....hela wanayo toa haizidi 5b lakini unakuta wao wanaingiza pesa nyingi

Changamoto ni wanatuoneshea vitu vya ajabu ajabu yafaa waoneshe ligi daraja la pili
 
Mwenye kisimbuzi cha Dstv kinachollipiwa mara kwa mara naomba nimpe hera nijiungie kwenye simu kwa kutumia kisimbuzi chake nataka kutumia ktk simu, nichek tuyajenge nibipu nikupigie ktk 0628748898
 
Mwenye kisimbuzi cha Dstv kinachollipiwa mara kwa mara naomba nimpe hera nijiungie kwenye simu kwa kutumia kisimbuzi chake nataka kutumia ktk simu, nichek tuyajenge nibipu nikupigie ktk 0628748898

Duh hii kitu hapana
 
Mwenye kisimbuzi cha Dstv kinachollipiwa mara kwa mara naomba nimpe hera nijiungie kwenye simu kwa kutumia kisimbuzi chake nataka kutumia ktk simu, nichek tuyajenge nibipu nikupigie ktk 0628748898
Mkuu mimi nina compact nitakupa buree ucheki kwenye dstv now
 
No, ni gharama kubwa mno. Hawana vipindi vipya sana, movies wanazirudia weeee, tangu naangalia nikiwa shule mpaka sasa nakaribia kustaafu ni zike zile.
DsTV wapuuzi sana. Tunalipia kwa ajiri ya mechi za mpira.

Unaweza kukukuta movies 5 wanazihamisha kutoka channel hii muda huu na channel ile muda mwingine kwa wiki nzima. Netflix labda wamekaba na wanawabana wasirushe vitu vipyavipya
 
nyny pambaneni na Dstv yenu..mm nishahamia Dish la CANAL SPORT...kwa 42000 tu ya kibongo naangalia UEFA, EUROPA,PREMIERE LEAGUE,ITALY,FRANCE,SPAIN...tatizo wanaongea kifaransa...ila kitu ni HD FULL KMA DSTV TU..
 
hivi hicho cha 49 naweza ona ligi kuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…