DSTV wapandisha tena vifurushi kuanzia leo tarehe 1/4/2025

Tunzo

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2013
Posts
4,128
Reaction score
2,452
Kama kawaida yao, wamepandisha tena cha 25,000 kuanzia leo ni 27,000 huu mwaka unaweza usiishe wameshafika 30,000

Sasa akili kumkichwa, ulipie Azam cha 28,000 uangalie ligi ya bongo, spain, na zingine na mazaga zaga

Au ulipie DSTV 27,000 ubaki na ligi ya spain na sinema zetu(kwa wale wa hizo sinema) mana ndio cha muhimu kwenye hicho kifurushi
 
Attachments

  • IMG_20250401_125100_660.jpg
    IMG_20250401_125100_660.jpg
    759 KB · Views: 47
Kama kawaida yao, wamepandisha tena cha 25,000 kuanzia leo ni 27,000 huu mwaka unaweza usiishe wameshafika 30,000

Sasa akili kumkichwa, ulipie Azam cha 28,000 uangalie ligi ya bongo, spain, na zingine na mazaga zaga

Au ulipie DSTV 27,000 ubaki na ligi ya spain na sinema zetu(kwa wale wa hizo sinema) mana ndio cha muhimu kwenye hicho kiurushi
BBC, Aljazeera, and much more international news
 
Msiwalaumu DStv tatizo ni Kodi za serikali
 
Wamepandishiwa kodi, ili nao wasile rosi ile kodi wakaiongeza kweny kifurush.
Kwahy hapo kodi unailipa mara mbili mtz
 
Kama kawaida yao, wamepandisha tena cha 25,000 kuanzia leo ni 27,000 huu mwaka unaweza usiishe wameshafika 30,000

Sasa akili kumkichwa, ulipie Azam cha 28,000 uangalie ligi ya bongo, spain, na zingine na mazaga zaga

Au ulipie DSTV 27,000 ubaki na ligi ya spain na sinema zetu(kwa wale wa hizo sinema) mana ndio cha muhimu kwenye hicho kifurushi
Nalipia DSTV.
Kuna options nyingi za Channels za kueleweka
 
Ngoja iwagaragaze hadi mteme damu
 
Kwa sasa ni 40,000 family
 
Back
Top Bottom