DStv wapata haki za matangazo ya mechi za CAF

DStv wapata haki za matangazo ya mechi za CAF

Mbona DSTV ilikuwa ikionyesha haya mashindano?

Ama ndio wamefunga mkataba mwingine!!
 
Hatimae DStv wamepata haki za kuonyesha mechi za Ligi ya Mabingwa Afrika na zile za Shirikisho kwa msimu huu wa 2024/2025.

Hii itakuwa nafuu kwa wateja wa DStv waliokuwa wanakosa uhondo huo mpaka waende Vibanda umiza.

DStv anaungana na Azam Tv pamoja na SABC kuwa vituo vyenye haki ya kurusha matangazo hayo huku wengine wakiwa ni Canal Sports pamoja na Bein Sports

Motsepeameupiga mwingi!!
Tayari huku
 
Back
Top Bottom