DStv wapata haki za matangazo ya mechi za CAF

Mbona DSTV ilikuwa ikionyesha haya mashindano?

Ama ndio wamefunga mkataba mwingine!!
 
Kwa sis wale wa ku stream mbona shangwe sana ni mwendo wa yaccine tv tu😁
 
Tayari huku
 
Mechi za caf ni channel namba ngapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…