Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
binafsi nilinunua iwe substitute ya azam, lakini nimeona hakuna vipindi vizuri, nimebaki na azam yangu.Toka mwezi agosti mimi nalipa kifurushi cha bomba lakini napata chaneli za Compact plus kwa mwezi wa tatu mtawalia.
Sijawahi kufanya magumashi yoyote yale kwebye king'amuzi hiki, yaani mpaka nimeanza kuogopa.
Je, wanaweza kunichaji zaidi siku wakinishtukia?
Hiyo inatokea unapoongeza salio bila ya kusubiria kifurushi kiishe,yani kama imebakia siku moja kwisha unajazia salio,ila ukisubiri mpaka ikakata,hiyo compact huwezi ipata kwa hela ya Bomba...Toka mwezi agosti mimi nalipa kifurushi cha bomba lakini napata chaneli za Compact plus kwa mwezi wa tatu mtawalia.
Sijawahi kufanya magumashi yoyote yale kwebye king'amuzi hiki, yaani mpaka nimeanza kuogopa.
Je, wanaweza kunichaji zaidi siku wakinishtukia?
Kirudishe mkuu.Utapewa kesi ya utakatishaji fedha na ugaidiToka mwezi agosti mimi nalipa kifurushi cha bomba lakini napata chaneli za Compact plus kwa mwezi wa tatu mtawalia.
Sijawahi kufanya magumashi yoyote yale kwebye king'amuzi hiki, yaani mpaka nimeanza kuogopa.
Je, wanaweza kunichaji zaidi siku wakinishtukia?
Hapa sijaelewa hebu fafanua zaidibinafsi nilinunua iwe substitute ya azam, lakini nimeona hakuna vipindi vizuri, nimebaki na azam yangu.
Uoga wako ndio umaskini wakoKirudishe mkuu.Utapewa kesi ya utakatishaji fedha na ugaidi
Umeshindwa kwenye malipobinafsi nilinunua iwe substitute ya azam, lakini nimeona hakuna vipindi vizuri, nimebaki na azam yangu.
azam ana vipindi vingi vizuri kuliko dstv, hapo utakuwa umenielewa sasa. na nilinunua dstv makusudi baada ya kuona matamthilia ya kiislam tuu na story za kiislam tuuu hadi nikawa nashindwa kuelewa watoto wangu wakiangalia hiyo tv mbona watakubaliana na uislam? nikanunua dstv, ajabu yake, nimerudi kutumia azam kwasababu dstv hawana vipindi vingi vizuri. wamezidiwa na azam inshort.Hapa sijaelewa hebu fafanua zaidi
DSTV wanavyo vifurushi hadi vya 9,000 azam ni 20+ hapo nitakuwa nimeshindwa kweli kwa akili yako.Umeshindwa kwenye malipo
Kifurushi kizuri dstv ni kuanzia 51000. Hivyo vya 9000 utajuta.DSTV wanavyo vifurushi hadi vya 9,000 azam ni 20+ hapo nitakuwa nimeshindwa kweli kwa akili yako.
sasa kwanini niende kwenye 50s wakati azam yupo kwenye 20s? kwa maisha haya ya kitanzania ambayo tv kwangu mimi naangalia mara chache sana, ni kwaajili ya watoto tu kwanza.Kifurushi kizuri dstv ni kuanzia 51000. Hivyo vya 9000 utajuta.
Azam wana vipind vipi vizuri? Tamathilia? Zile zina fanya watoto wawe wajinga tupu?binafsi nilinunua iwe substitute ya azam, lakini nimeona hakuna vipindi vizuri, nimebaki na azam yangu.
Azam huko watoto si wanakimbilia Tamthilia za wakina kurufii? Sasa pale mtoto anajifunza nini hasa? Mnaharibu watoto kwa ujinga wenuazam ana vipindi vingi vizuri kuliko dstv, hapo utakuwa umenielewa sasa. na nilinunua dstv makusudi baada ya kuona matamthilia ya kiislam tuu na story za kiislam tuuu hadi nikawa nashindwa kuelewa watoto wangu wakiangalia hiyo tv mbona watakubaliana na uislam? nikanunua dstv, ajabu yake, nimerudi kutumia azam kwasababu dstv hawana vipindi vingi vizuri. wamezidiwa na azam inshort.
Ngoja kwanza, mzungu wa kimarekani???Kuna Day nilitembelea Mzungu nmoja Arusha ni Mwanamke wa Kimarekani ila kaolewa na Mmasai, ana watoto wanne, nilishangaa kuto kuona TV sebuleni na vile alivyo na watoto wadogo, ila sikumuuliza.
Siku nyingine nikaenda tena ila siku hio sikuingia ndani niliishia nje kuna kazi nilikuwa nafanya ikabidi nimuulize kwamba Watoto wako hawatazami TV?
Alicho niambia ni kwamba hawezi ruhusu ujinga huo kwa watoto na watoto wanapoteza ile natural cretivity yao na wanajazwa ujinga sana sana wana computa wanacheza games mbalimbali na michezo mingine.
Sasa njoo kwetu Sasa Mtoto anaijua Tamthilia ya Kituruki kuliko kitu chochote kile.
Watoto wanakuwa wajinga lakini wazazi wanaona ni kama ndo malezi Bora ya Watoto.