Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Za ndaaani kabisaaaa, Saidoo Ntibazonkiza amemwaga saini ya miaka miwili kuwatumikia DTB ambayo ni timu mpya katika ligi kuu ya NBC.
Unaambiwa DTB wana mipango ya kutaka kupata nafasi za kushiriki michuano ya kimataifa. Hivyo wanapambana kuhakikisha wanachukua wachezaji wenye uzoefu na wamepania kuzibomoa Simba, Yanga ma Azam.
Poleni wananchi kwa kumpoteza mchezaji wenu muhimu