DTB yaanza kishindo NBC, Ntibazonkiza asaini miaka miwili

Saido kama pesa alikwishavuna nyingi akiwa ulaya hapa yanga anacheza akiwa anafurahia tu anaipenda yanga

Dtb akafanyeje huko?
 
Kwani Mwenyewe Anasemaje?
Screenshot_20220527-002604~2.jpg
 
Za ndaaani kabisaaaa, Saidoo Ntibazonkiza amemwaga saini ya miaka miwili kuwatumikia DTB ambayo ni timu mpya katika ligi kuu ya NBC.

Unaambiwa DTB wana mipango ya kutaka kupata nafasi za kushiriki michuano ya kimataifa. Hivyo wanapambana kuhakikisha wanachukua wachezaji wenye uzoefu na wamepania kuzibomoa Simba, Yanga ma Azam.

Poleni wananchi kwa kumpoteza mchezaji wenu muhimu
Yaan Gulu Chemba awe na hela za kumzidi MO na Bakhresa? Kwa Mshahara gan hasa wa kwenye Cabinet? Labda apige na madili maana yuko kitengo nyeti cha Njuluku
 
Azam hakuna wachezaji pale
 
Yaan Gulu Chemba awe na hela za kumzidi MO na Bakhresa? Kwa Mshahara gan hasa wa kwenye Cabinet? Labda apige na madili maana yuko kitengo nyeti cha Njuluku
Huyu mzee atafungwa jela msimu.ujao.kama namuona CAG kashusha miwani chini ya macho akiiangalia kwa umakini mkubwa DTB
 
Back
Top Bottom