DTB yaanza kishindo NBC, Ntibazonkiza asaini miaka miwili

Teko Modise

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2017
Posts
2,331
Reaction score
7,733
Za ndaaani kabisaaaa, Saidoo Ntibazonkiza amemwaga saini ya miaka miwili kuwatumikia DTB ambayo ni timu mpya katika ligi kuu ya NBC.

Unaambiwa DTB wana mipango ya kutaka kupata nafasi za kushiriki michuano ya kimataifa. Hivyo wanapambana kuhakikisha wanachukua wachezaji wenye uzoefu na wamepania kuzibomoa Simba, Yanga ma Azam.

Poleni wananchi kwa kumpoteza mchezaji wenu muhimu
 
Unamaanisha Singida United πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ naona Waziri kaamua kuchukua kijana wake kutoka timu kipenzi chake kumpeleka timu yake ya jimboni
 
DTB washamba tu ligi kuu sio daraja la kwanza. Wamepanda ligi kuu kwa kuhonga marefa, lazima washuke daraja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…