Taja wote sio Saidoo tu na wengine kibao toka Yanga, Simba na Azam ambao ni wachezaji wazuri sana ila hawapangwi. DTB wachukue Kaseke, Ninja, Kabwili , Makambo, Yassin, Ushindi, Yusuph Athumani na Ngushi
Samahani Mikia aka Makolo FC sioni mchezaji wenu mzuri hata mmoja wa kuchezea DTB