Dua ninazoomba kila siku katika maisha yangu

Dua ninazoomba kila siku katika maisha yangu

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
6,846
Reaction score
10,288
1. Allah aniondoshe katika dunia hii hali ya kuwa umeniridhia

2. Allah aniondishe katika dunia hali ya kuwa sina dhambi hata mmoja

3. Anijalie kaburi langu liwe miongoni mwa mabustani ya peponi na lisiwe miongoni mwa mashimo ya moto wa Jahannam

4. Namuomba Allah anijaalie aniingize katika pepo yake bila hata kunifanyia hesabu tena katika daraja la juu

5. Anijaalie anifufue uso wangu wenye nuru

6. Atujaalie waislam wote duniani tushikamane baina yetu
 
Mungu. Naomba hii gari. Nimeiona leo mtandaoni 37m
20241011_200636.jpg
 
Vitu vya kufikirika hvyo , no afterlife, hakuna maisha baada ya kifo , utazikwa chini udongoni na mwili wako utaoza hakuna mahala utaenda acha kujifariji na Imani uchwara
 
Wenzio wanafia vitani wewe unataka ufie kitandan

Firidaus wewe utaishia kuisikia kwa wenzio

Ngoja niikuitie na huyu mwisilam ambaye hajatahiliwa@lucha
 
1. Allah aniondoshe ktk dunia hii hali ya kuwa umeniridhia
2. Allah aniondishe ktk dunia hali ya kuwa sina dhambi hata mmoja
3. Anijalie kaburi langu liwe miongoni mwa mabustani ya peponi na lisiwe miongoni mwa mashimo ya moto wa Jahannam
4. Namuomba Allah anijaalie aniingize ktk pepo yake bila hata kunifanyia hesabu tena ktk daraja la juu
5. Anijaalie anifufue uso wangu wenye nuru
6. Atujaalie waislam wote duniani tushikamane baina yetu
Huwaombei hata Gaza!
Huwaombei watu wa kitabu!
 
Back
Top Bottom