Unapoomba gari na uombe akiepushe na ajaliMungu. Naomba hii gari. Nimeiona leo mtandaoni 37mView attachment 3122028
Huwaombei hata Gaza!1. Allah aniondoshe ktk dunia hii hali ya kuwa umeniridhia
2. Allah aniondishe ktk dunia hali ya kuwa sina dhambi hata mmoja
3. Anijalie kaburi langu liwe miongoni mwa mabustani ya peponi na lisiwe miongoni mwa mashimo ya moto wa Jahannam
4. Namuomba Allah anijaalie aniingize ktk pepo yake bila hata kunifanyia hesabu tena ktk daraja la juu
5. Anijaalie anifufue uso wangu wenye nuru
6. Atujaalie waislam wote duniani tushikamane baina yetu
AminaUnapoomba gari na uombe akiepushe na ajali