Uchaguzi 2020 Dua ya Askofu Mwamakula: Atakayehusika na kudhulumu uchaguzi afedheheshwe yeye hadi kizazi chake cha nne!

Vizuri..
Pia naskia Kuna ALBADIRI tayari imesomwa🙄

Hapo ni kila mmoja kuchunga HATMA yake na uzao wake. Ukitekeleza maagizo ya kihuni ya watawala, inakula kwako na uzao wako
Bado mnaongozwa na myths za kidini🤔? Mungu angekuwa na mawazo kama ya binadamu watu tusingekuwepo mpaka leo.Badala ya kushughulika na dhambi zako,unashupalia dhambi za wenzako.

Eti ALBADIRI 😂😂, upuuzi tu.
 
Maombi ya mlevi ni kazi bure
 
Hakuna laana inayoweza kumpata mtu kutoka kwa askofu mwanasiasa na mpumbavu kama yule. Chamsingi asubirie tu kuletewa sadaka kanisani maana ndo uhai na ujanja wake hapa duniani.
 
Mwambie huyo Askofu kuwa vijana waliokuwa wanafurika mikutano ya Lisu Leo wameingia mitini vituo vya kura hawaonekani wamefurika watu wazima tu
 
Tunza naneno kwaajili ya kesho
Neno la Mungu liko wazi. Na linaishi. Wala sio masihara. Watalaaniwa kuanzia wao, uzao wao na wajukuu na vitukuu.

Ulishawahi kujiuliza familia ya nyerere vile ilivyo licha ya baba kuwa Rais wa miaka mingi?
 
Mwambie huyo Askofu kuwa vijana waliokuwa wanafurika mikutano ya Lisu Leo wameingia mitini vituo vya kura hawaonekani wamefurika watu wazima tu
Nimetoka kituoni sasa hivi hapa Ukonga. Nimeshangaa kwamba hakuna wazee kabisa ni vjana tupu. Mazoea zamani unaenda kituoni saa kumi na mbili unakutana na vibibi na vibabu leo hali iko tofauti kabisa.
 
Wazee hali mbaya kiafya, labda wapelekewe majumbani... kizazi cha zamani kinaelekea kupotea chini ya jua.
 
Nimetoka kituoni sasa hivi hapa Ukonga. Nimeshangaa kwamba hakuna wazee kabisa ni vjana tupu. Mazoea zamani unaenda kituoni saa kumi na mbili unakutana na vibibi na vibabu leo hali iko tofauti kabisa.
😁😁😁 Hata vijana waliwahi,wazee watakuja na kupiga kura Kama kawaida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…