Uchaguzi 2020 Dua ya Askofu Mwamakula: Atakayehusika na kudhulumu uchaguzi afedheheshwe yeye hadi kizazi chake cha nne!

Vizuri..
Pia naskia Kuna ALBADIRI tayari imesomwa[emoji849]

Hapo ni kila mmoja kuchunga HATMA yake na uzao wake. Ukitekeleza maagizo ya kihuni ya watawala, inakula kwako na uzao wako
Huko Zanzibar laana itaanza kwa mwinyi kufurushwa kama sultani kwenye mapinduzi ya 1964. Wazanzibari wameandaa mapinduzi ya pili iwapo mwinyi atalazimishwa kuwa rais. Mwinyi in MTU wa Mkurunga kama sultan alivyo MTU wa Uarabuni. Wote ni wageni Zanzibar.
 
Wanaposema Kila mamlaka inatoka kwa Mungu,huwa hawamaanishi Kila mamlaka Ni nzuri.Mamlaka nyingine huwekwa ili iwe funzo kwa wanadamu waliomkosea Mungu ili waweze kutubu.
Si ndo maana tumewaona akina Makamba na Kinana wakipakwa "UPAKO"
 
Tuwakabidhi kwa Mungu wezi wote wa kura wafedheheshwe kwa kwa kila laana,wakose amani kwa kushiriki kuipoka haki,maana wanaleta maumivu makubwa kwa wanyonge...ni ubabe tu ndiyo kanuni imetamalaki
 
Mkuu wazazi wangu hapo wanaingiaje?
Mataga ccm ndiyo walijiita na wala hawajaitwa na mtu, kwani nimekukosea wapi mkuu?

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Na mimi utaniitaje mataga wewe ndio ulinipa kadi ya mataga.ungeweza kujibu hoja bila kunihusisha na mataga lakini kama unavyotaka wazazi wako waishimiwe ndivyo unavyotakiwa kuheshimu watu wengine
 
Ningekuwa sijasoma nisinge jibu,inaonyesha ni kiasi gani mawazo ako na mtazamo wako ulivyo,kitu ambacho vijana wengi wa chadema ambacho mnacho ni stupid mentality, thinking capacity yenu ni ndogo sana ,mnapenda kuwa driven na emotional
Sasa ni utopolo gani ule uliandika kama umesoma na kuelewa thread??
 
Kizazi chake cha nne kimekosea nini sasa?
 
Humu hakuna atakayekupa jibu la ufasaha zaidi ya askofu mwenyewe mkuu.
Kwani wapi nimesema nataka jibu la ufasaha kutoka kwa askofu mwenyewe?

Na unajuaje askofu mwenyewe hayumo humu?
 
Kwani hapo asikofu amedharau mamlaka kivipi
 
Tatizo la Askofu ameanza kufedheheshwa yeye.

Anahitaji kutubu kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…