Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
Historia ya uhuru wa Tanganyika imetawaliwa na dua zilizokuwa zikifanywa kuomba salama na ushindi kutoka kwa Mwenyezi Mungu.
Mtu wa kwanza kulieleza hili alikuwa Mwalimu Nyerere Ukumbi wa Diamond alipokuwa anaagana na Wazee wa Dar es Salaam mwaka wa 1985.
Katika utafiti wangu nimekuta kuwa dua ya mwisho kusomwa ilikuwa dua ya Mnyanjani, Mwalimu Nyerere alipokwenda kuonana na viongozi wa TANU Tanga wakiongozwa na Mwenyekiti Hamisi Kheri kutafuta msaada wa vipi TANU ikabiliane na wajumbe wa Mkutano wa Tabora waliokuwa wanapinga kushiriki Kura Tatu.
Nimefanya mahojiano na Mtangazaji wa Radio Nuur, Zubeir Mohamed historia ya Tanga na mchango wake katika kupigania uhuru wa Tanganyika.
Hiyo hapo chini ni moja katika video za mazungumzo yetu:
View: https://youtu.be/zrvCxqVhg8U