Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
Jumla ya dua ambazo TANU ilisoma kuomba msaada wa Allah ni tano.
Kila dua ilikuwa na sababu na chanzo chake.
Dua nne zilikuwa kuwaombea watu makhsusi wasiangamizwe na njama na hila za Waingereza: Dua ya Ali Rashid Meli, Dua ya Abdulwahid Kleist Sykes na Dua mbili za kumuombea Julius Kambarage Nyerere.
Dua ya tano ya Mnyanjani ilikuwa dua ya kuiombea TANU ivuke salama mtego uliotegwa na Waingereza.
Baada ya Dua ya Mnyanjani TANU hali ya Tanganyika ilitulia.
TANU ilipata ushindi mkubwa dhidi ya UTP kiasi ofisi ya UTP Tanga ilifunga shughuli zake na kwa mapenzi makubwa kiongozi wa UTP Tanga alichukua samani za ofisi ya UTP wakawapa ofisi ya TANU Ngamiani Tanga.
View: https://youtu.be/K3MgT9pD2Mo?si=18l7MQwaCa81jwTV